Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT...
Haya maisha tunayo ishi hapa duniani ni mafupi Sana tuzingatie utu na kuishi na watu vizuri. Madaraka umeyapata hapa hapa Duniani hukuzaliwa nayo na huta kufa nayo utayaacha wengine wakiyatumia...
Kwa ufupi sana Jaji huyu Mustapha Mohamed Siyani aliapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma siku ya Ijumaa tarehe 20 April 2018, na Aliyekuwa Rais wa Tanzania wa awamu ya 5 Dr John...
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje...
Ninawaza kwanini tanesco wasingeanza kutumia nguzo mpya za zege katika maeneo yote yaliyo kwenye mpango wa rea kuliko kuingia hizi gharama Mara mbili za nguzo.maeneo ya mijini wangefanya...
Kuna suala sijui la majengo 70 kila jimbo, sijajua lilianzia wapi lakini Spika wa Bunge Job Ndugai amesema Majimbo hayana tafsiri nzuri kuna majimbo yana kata mbili, huku mengine yakiwa na kata...
Mchoro wa katuni ulioandaliwa na msanii ndugu Mohammed Jumanne almaarufu Meddy kutoka Tanzania imechaguliwa kuwa Nembo ya Ushirikiano mpya kati ya Afrika na Ufaransa (New Africa-France Summit)...
USHINDI WA KONDE;MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM.
Na Chakat,Hapa Kazi Tu.
Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta...
Nimeona sehemu fulani Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu akisitisha tozo ya maegesho ya magari kwa njia ya kielektroniki kutokana na malalamiko ya wengi kuzidi.
Hiyo ni sehemu tu ya malalamiko...
Katika nchi ambayo iko Uchumi wa Kati, nchi ambayo hununua mijidege kwa malipo Taslimu, hizi ndizo shule zake zilizotapakaa kote nchini.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa...
Moja kwa moja kwenye hoja
Tarehe 12/10/2021 , ni hukumu ya Kesi Kati ya Musiba na Benard Membe,,ikiwa Musiba atakutwa na hatia, itakuwa funzo kwa watu wengine kutukana watu kwa kuwa Wana backup...
Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika ...
Nimepigwa sana na kundi la vijana zaidi ya ishirini wa CCM wakiongozwa na Mbunge wa viti maalum CCM Mariam Ditopile.
Nimepigwa mbele ya kituo cha polisi mbele ya polisi. Nilikwenda kuwadhamini...
Mimi ni mmoja kati ya watu waliokua wanaifatilia Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Mikoa ya kusini mwa Tanzania, Pamoja na kwamba Ziara nyingi za PM akiibuka sehemu hapakosi jambo au kumuacha mtu...
Habari JF.
Miaka ya nyuma Kati ya 2011 na 2012, Serikali ilianzisha ujenzi wa Maktaba au library ya kumuenzi Waziri Mkuu Kawawa. Maktaba hiyo ilikuwa ikijengwa eneo la Madale jijini Dar.
Mwenye...
MIEZI MITANO BILA JPM:CHANJO YA MAREKANI NA UINGEREZA INAVYOATHIRI SOKO LA TANZANIA.
Leo 14:30hrs 28/08/2021
Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75%...
Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA
Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu...
Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee.
Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya...
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wameipongeza hatua ya Rais Samia kuitaka mahakama itende haki katika mashauri yanayoletwa mahakamani.
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wamepongeza hatua hiyo ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.