Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya leo ninayotaka kuizungumzia. Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu, nakuomba chonde chonde kuuangalia upya mradi wa BRT unao endelea kujengwa jijini Dar es...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Kabla ya kuhamaki juu ya Uzi huu, kwanza salaam zenu, Moja ya mambo au masuala nayojiuliza kila kukicha ni dhana ya hekima iliyopitiliza ya viongozi wanaoitwa wapole , Tanzania bara, Mifano...
10 Reactions
103 Replies
10K Views
Rais Samia amewapigia simu Wasanii wa Dance, Waigizaji na wengine kuzungumza nao live kupitia Mwigizaji @SteveNyerere2 usiku Dar es Salaam kwenye kusanyiko la ‘Ongea na Mama’ na kuwaahidi...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna utaratibu uliletwa huko Tanzania fedha za miradi ya maendeleo kugawanywa na serikali kupitia majimbo mfano fedha za IMF 1.3 trilion, fedha za Tarura. Majimbo mengine yanabidadi ndogo ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Siyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu. Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa. Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana JF. Waziri wa Kilimo Mkenda ameonyesha ubingwa wa kukwepa maswali au kutoa majibu mepesi kuhusu mikakati ya kuimiza na kuboresha zao jipya la vanilla katika kuleta maendeleo ya nchi na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania...
27 Reactions
149 Replies
9K Views
Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA YAH; UZINDUZI WA KAMPENI YA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19 Chama cha sauti ya umma(SAU) tuna mpongeza Mhe.Rais SAMIA SULUHU HASSAN, Waziri Mkuu na...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia...
79 Reactions
125 Replies
10K Views
Askofu Gamanywa: Yesu alisema kwa jina langu hata mkinywa kitu kinachofusha hamtadhurika. Yesu pia alisema " mpeni kaisari yaliyo yake kaisari" Hivyo naomba tusibaguane waliochanjwa kwa hiyari...
12 Reactions
46 Replies
5K Views
Salaam Alekuim. Katika siku za karibuni kumekuwa na maneno,malalamiko mengi juu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu katika mitandao ya kijamii na mitaani. Rai yangu kama watanzania ili tusonge mbele...
2 Reactions
5 Replies
714 Views
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa. Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii. Karibu...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Hii ndio Kauli aliyoitoa IGP Simon Sirro alipokuwa anaongea na waandishi wa Habari , bado haijajulikana lengo hasa la mkubwa huyu kutoa siri hiyo inayowahusu Polisi hao ambao hata hivyo...
16 Reactions
83 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano...
8 Reactions
170 Replies
12K Views
NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR. ZAA = Zanzibar TAA = Tanzania BARA Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to...
13 Reactions
73 Replies
7K Views
Hili ni swali kwa Wanasheria waliomo humu JF, ni wazi kuwa Mh Mustafa Siyani amepadishwa cheo , na kwamba kabla ya "kula shavu" hilo alikuwa ndiye Jaji aliyeendesha kesi ya Ugaidi wenye thamani ya...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Sisi Watanzania tunayo sifa moja tofauti na wenzetu. Humsifia kila Rais anayekuwepo madarakani na kumpa majukumu ya kufikiria kila jambo kwa niaba yetu! Akiondoka madarakani tunaanza kulalama tena...
5 Reactions
17 Replies
987 Views
Back
Top Bottom