Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia...
14 Reactions
91 Replies
13K Views
Wakuu nawasalimu, Naushauri uongozi wa CHADEMA wampe kazi ya usemaji wa chama taifa ndugu Binamu Bananga, eneo hili ni muhimu kujibu propaganda na kutengeneza propaganda za kisiasa. Kitengo hiki...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari, Mimi ni miongoni mwa watu wachache tuliokuwa tukiuchukia uongozi wa Magufuli. Matendo maovu na viburi kutoka kwa wateule wa Magufuli akiwemo Sabaya na Makonda ndivyo vilichochea zaidi...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Mkurugenzi mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara NSSF itawekeza Bilioni 34 kwa viwanda vya NMC vilivyopo Kyela,Iringa,Dodoma na Mwanza. Haya yalizungumzwa na Mkurugenzi huyo Mbele ya...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato? Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mfululizo mzima wa kesi ya Sabaya imekuwa ikitajwa sabaya na wenzake watatu. Je, hao wenzake watatu ni akina nani? Na haiwezekani kutajwa majina yao? Naulizia tu. Mfano: Sabaya na wenzake...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
USA RIVER, ARUSHA: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kutoacha kuwasema Viongozi ambao hawawajibiki akisisitiza, "Semeni na tuleteeni kwasababu tunawatuma wawatumikie wananchi"...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Samia ameyasema hayo akiwa Jijini Arusha huku akisema atajemga stendi kubwa na za kisasa kama ilivyokuwa awamu ya 5. --- AIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake inaandaa mradi mahususi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau haiingii akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya uhalifu kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii hatua zozote. Viongozi hao ni Pamoja na...
11 Reactions
62 Replies
49K Views
Akinukuliwa na makamera, mlalamikaji ambae ni mfanyabiashara wa hoteli alisikika na akionekana kusema kuwa amejitoa Mhanga, yuko tayari kwa lolote. Alisema hivi,"Sabaya alinitaka nimpe milioni...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wadau? Kwa masikitiko makubwa motor lawama kwa mbunge wangu wa Rombo profesa Adolf mkenda kwa kushindwa kumweleza raisi Samia Suluhu matatizo ya Wana Rombo. Nakumbuka ziara ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Miaka ya nyuma taifa hili lilishuhudia majaji ambao walijitoa mhanga kutoa haki kadri ya sheria. Walitoa haki bila upendeleo, chuki wala kuogopa mamlaka zilizowazunguka. Walijulikana kama Bold...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwenye taarifa ya habari ITV leo saa mbili usiku TBS wamesema wataiondoa sokoni juisi ya Ceres Apple yenye sumu! Kuondoa huku kinafuatia TBS kusikia nchi nyingine zikiondoa juisi hiyo ya toleo...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Itakumbukwa kwamba Mh Rais yuko Mkoani Kilimanjaro kwa Ziara ya kikazi , Ambapo Mh Rais amezindua ujenzi wa jengo litakalogharimu tsh Bil 4 la hospitali ya KCMC ambalo litatumika kwa ajili ya tiba...
15 Reactions
85 Replies
8K Views
Kuna sms inatumwa na NMB kuwa wanakata tozo ya serikali kuanzia September 8 hadi Oktoba 10 ya miamala cha ajabu hawasemi wanakata Tsh ngapi au asilimia ngapi sasa kupitia hili watu wasije ibiwa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchini Tanzania , Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati . JF ina watu wengi kutoka sekta tofauti ...
24 Reactions
154 Replies
17K Views
Tumemsikia wenyewe wakati anahutubia wafanyibiashara aliowaalika Ikulu hivi karibuni akiwaambia kuwa anatamani, kipindi anatoka madarakani awaache wafanyibiashara mabilionea wakiongezeka nchini...
11 Reactions
57 Replies
4K Views
Baada ya safari ndefu ya shindano la Stories Of Change hapa jukwaani hatimaye leo tumejua yupi kaibuka na kitita cha milioni tano. Mshindi wa kwanza na wa pili wote ni wanawake 1. Golder Anael...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Sijui nitakua hai au nitakua nimekufa lakini nawaambia kuna siku lissu atakuja kuwa Rais wa JMT Huyu ndo atakuja kuliponya hili taifa dhidi ya matatizo yote tuliyopitia Mimi namuombea nguvu...
32 Reactions
117 Replies
8K Views
Askofu Shoo wa Moshi Kilimanjaro ambapo pia ni askofu wa Kanisa la Lutheran,ambalo linamilik Hospitali kubwa kabisa hapa nchini ya kisasa na yenye mandhari nzuri zaidi KCMC amesema Rais Samia...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom