Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima...
Wanajukwaa nawasimu,
Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.
Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole...
Diwani wa kata ya Sombetini Arusha Ally Bananga (CHADEMA) amewataka madiwani waliopo ndani ya chama chao wanaotaka kuhama ndani ya chama waondoke mapema kwani wakija kuwagundua kipindi cha...
Awamu ya tano na masalia yake ndani ya awamu hii yalituvesha hii "bloody" tungo - Maelekezo kutoka juu.
Pamoja na kuwa hadi hapa tulipo kuna ya kujifunza kutokea kwa nduli Sabaya, habari...
Akizungumza katika kongamano huko Chato kada huyo wa siku nyingi wa CCM, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?"
Ukweli hakuna...
Mbunge wa viti maalumu Chadema mh Cecilia Pareso kwa niaba ya chama chake amempongeza Rais Samia kwa kushiriki Royal tour yenye lengo la kuongeza Watalii.
Pareso amesema kwa sasa Tanzania hupata...
Aweso wewe ni kijana, Unao uwezo kabisa wa kufanya mambo makubwa na kuwa mtu mhimu sana katika hii nchi.
Nimeona Mama amekupamba na ukapambika, kiufupi tunaelewa kazi yako hasa ukiwa na msimamizi...
Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:
Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka...
Huyu bwana alipokuwa mfalme wa jijini kila mtu alilia kilio chake hasa matajiri wa mjini, tulisikia kuna waliolazimishwa kutoa sehemu ya mali zao ili waendelee ku-survive, kuna waliobishana naye...
Nimeshangazwa sana kwa kitendo ulichofanya jana mkoani Arusha kuugeuza mkutano wa hadhara wa Rais wa JMT kuwa mkutano wa kisiasa wa CCM.
Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi...
Tumemsikia Rais Samia akisema kwa lugha ya kujihami kuwa machinga wapangwe
Katumia lugha ya wapangwe badala ya waondolewe sababu anaogopa, anaogopa kuwa hawana mbadala wa sera ya kupunguza watu...
Wafanyabiashara wasiofuata sheria za nchi/jiji wadhibitiwe kwa CCTV baada ya Agizo la kuwaondoa kutolewa. Hakuna haja ya kutumia nguvu kazi kubwa kukimbizana daily. CCTV zisaidie kukusanya ushahid...
Nilimsikia Rais Samia akisema katika ujenzi unaofanyika watumie wataalamu na wakandarasi wazalendo. Haya ni maamuzi ya kizalendo sana na ya kupongeza sana.
Hizo ndizo njia pekee za kutengeneza...
Habari wanaJF,
Leo kuna jambo ambalo nimeona nilizungumzie. Wengi wetu nadhani tunamjua Ally Bananga, alikuwa diwani wa sombetini huko Arusha na pia kwenye uchaguzi wa mwaka huu alikuwa ni mmoja...
Demokrasia kustawi na kuwa imara inahitaji mazingira wezeshi nayo ni mambo mawili makubwa, ambayo ni kiwango kidogo cha umaskini/njaa na uwepo wa raia wengi wenye kiwango kizuri cha elimu...
Diwani wa Kata ya Ngarenaro kwa tiketi ya CHADEMA, Isaya Doita amemtuhumu Godbless Lema kuwa hajui kazi na majukumu yake kama kiongozi wa juu wa CHADEMA na pia kama Mbunge.
Isaya Doita ametoa...
Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu.
Naona taratibu sasa mnataka...
Moja ya fly-over mwonekano wake itakavyokuwa baada ya kukamilika
Baadhi ya taswira za fly-over zinazotazamiwa kujengwa Dar
Baadjo ya taswiras ambazo ni kivutio cha jiji la Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.