Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM ni chama kinachoheshimika sana Afrika na duniani kote. CCM ndio kimezaa vyama vyote vya siasa nchini. Tabia za kihalifu zilizoonyeshwa na baadhi ya wanachama wake wakiwemo Hamza na Ole...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Serikali ya awamu ya tano ilitumia nguvu na rasilimali kubwa ya nchi ikiwamo rasilimali fedha kuwatumia Acacia na kuingia mkataba na Barrick (wanaume) na tukapewa matumaini makubwa kuwa Barrick...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni vitu gani ambavyo viongozi wetu walifanya nyuma ila pale unapo kumbuka unabaki na mshangao na kujiuliza maswali yasio na majibu Mimi nakumbuka mwaka fulani nipo kijijini kwetu kulikuwa na...
0 Reactions
2 Replies
527 Views
Kadri siku zinavyokwenda nazidi kujifunza, moyo wangu unapondeka, unyenyekevu unatawala. Kwanza kabisa, nimepoteza watu wengi sana wa maana katika maisha yangu, watu niliowapenda na kuwategemea...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Japo tunaka kamsemo ketu "unda tatizo kisha tatua" ila sasa hiyi ni too much haiwezekani Hivi haya mambo tunayoyafanya hata kama ni kulinda vyeo unajisikiaje ukifanyiwa wewe Unakuta kiongoZi...
1 Reactions
2 Replies
558 Views
Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc...
11 Reactions
72 Replies
9K Views
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu? Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi? Makamu wa Rais ni...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa...
15 Reactions
81 Replies
4K Views
Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amingia mdarakani na ana mkwara mkubwa. Tatizo lake ni moja, exposure na experience ya kaxi za ujenzi miradi ya maji ni sifuri. Kwa kijana aliyemaliza chuo kikuu...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Huyu ndiye rais aliye chaguo la Mungu, wengi hawkutegemea kuwa mama Samia angekuwa rais wa nchi hii, Ila kwa Mungu Kila kitu kina wezekana. Huyu ni miongoni mwa binadamu walio Pata malezi Bora...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nikiwa Darasa la Saba Mwaka 1995, kama kijana yoyote wa Moshi Mjini Nilikua na Hamasa Kubwa Kisiasa, Na Moshi Mjini Ilikua Imewaka Moto Kisiasa. Bwana Mrema Alikua Amejiunga na NCCR Mageuzi, Nayo...
17 Reactions
63 Replies
7K Views
Kesi ya Sabaya Inakosekanaje mashahidi? Hapa kichwa kinaniuma kwa kujiuliza. Jinsi huyu dogo alivyokuwa anafanya "unyama" (kwa mujibu wa maelezo ya watu. Nlitegemea mahakamani pangekuwa panajaa...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wadau nadhani tunakumbuka tukio la uvamizi wa kituo cha televisheni cha Couds, Mikocheni jijini DSM uliofanywa na Paulo Makonda. Je, huu haukuwa ugaidi? Mbona hatukuona polisi kumkamata na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo ilikuwa kilele cha mbio za Mwenge kitaifa huko Chato -Tanzania.Mwenge wetu wa Uhuru ulizimwa rasmi kule Chato. Masikio ya wanachato yalikuwa kisikia Chato ikipewa hadhi ya kuwa mkoa lakini...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ameagiza kwa adau kukutana ili kuona uwezekano wa kupunguza bei ili iwe rafiki kwa watumiaji .
6 Reactions
62 Replies
5K Views
1. Kwa Kufuata Katiba? 2. Kwa Nidhamu na Utu? 3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB? 4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto? 5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki? 6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi? 7...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom