Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu baba alikuwa akiwatukana wazungu mara kwa mara na kuwaita majina ya ajabu ajabu Aliwavimbia wareno kule Angola mpaka wakasepa zao Ulaya Akawa mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Wamangati na wanasai wanaochunga ngombe zao karibu Tanzania nzima bila mpango ni tatizo. 1. Kwanza kule Monduli kumekuwa kama Jangwa 2. Huku Bagamoyo na Lindi ni uvamizi kila siku na wizi 3. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
LISSU ATANGAZA VITA DHIDI YA WAMACHINGA TANZANIA. ASEMA, WAMEKUA KERO KWA WAFANYA BIASHARA WA KIGENI. (kutoka Tunduma Mbeya) Anayetarajiwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya...
4 Reactions
80 Replies
9K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kupata chanjo ya CORONA kwa kuwa tiba ya maradhi hayo hugharimu taifa. Pia amesema ukipata corona kupona au kufa ni hamsini kwa hamsini, na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye. Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Troubled Tanesco risks losing access to gas pipeline Saturday April 14 2018 The Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) building in Ubungo, Dar es Salaam. The firm owes $109 million to...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo...
10 Reactions
52 Replies
5K Views
Tanesco loses Sh16 billion per month MONDAY OCTOBER 18 2021 Director general for Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco), Mr Maharage Chande. Summary Tanesco is a big organisation...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka...
16 Reactions
140 Replies
16K Views
Nasubiri majibu yenu juu ya nililouliza kwani nami GENTAMYCINE kama Mwanasiasa na Mgombea Urais mtarajiwa wa 2025 nataka kujua ili kama vipi nami niende kwa Machifu wa Unguja na Pemba...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Naomba ufafanuzi kutoka kwa mwenezi wa CCM komredi Shaka ambaye ametokea UVCCM hivi pale Vijana hamuandai viongozi watarajiwa tena. Maana safu za uongozi wanajazana machadema watupu vijana wetu...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Mahawanga Janeth leo ameshiriki katika uzinduzi wa Kongamano kubwa la Wanawake wakiristo, Women For Christ Alliance (WOCA) 2021 lililoandaliwa na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunaimbiwa mapambio mazuri kila siku kwa sababu ya Tozo. Tozo inajenga madarasa Tozo inajenga vituo vya afya Tozo sijui inajenga barabara Tozo imeleta sijui vitu kedekede Wakati huo huo...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
loading....................
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati...
7 Reactions
125 Replies
8K Views
Chato inyang'anywe hadhi zote ili kiherehere cha kua mkoa na kutaka kuwa nchi likome. Hichi kijidola mayai cha bwana yule kinyanganywe hadhi kabisa ya kuwa hata Wilaya. Nasema hivyo maana kila...
18 Reactions
40 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kabila la wamasai wanakawaida ya kuhamahama hali inayoweza kuleta changamoto katika zoezi la sensa mwaka 2022. Amesema watu wasipojitokeza itakuwa ngumu kupanga...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Saalaam kwenu WanaJamvi Baada ya pilikapilika nyiIngi kupita, pilika za kutangaza nia, kuchukua fomu, kampeni na hatimaye Uchaguzi mkuu hatimaye sasa Jahazi la nchi yetu limeanza kutulia kabla...
5 Reactions
75 Replies
8K Views
Wakati wa utawala wa dola ya Rumi, adhabu ya kusulubiwa msalabani ilikuwa ni adhabu kwa ajili ya wahalifu sugu, watu kama wauaji, majambazi na wahaini. Ilikuwa adhabu ya kudhalilisha, ya kikatili...
9 Reactions
56 Replies
4K Views
Leo Watanzania mnasherekea mkopo wa IMF na kufurahia maekekezo tu kuwa tunakwenda kumaliza tatizo la vyumba vya madarasa na wasimamizi ni wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya chini na watendaji...
4 Reactions
7 Replies
45K Views
Back
Top Bottom