Kama wanaCHATO wamefurahi Dkt. Kalemani kutenguliwa Uwaziri, je atalamba ubunge 2025?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato?

Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge maana zilikuwa ni mbio maalumu. Ok zimeisha.

Mimi nikasema sitageuka home(kapuni) nikapita mitaa ya Chato Central kuna vijiwe kibao vya kahawa na muhimu kwa kudaka habari. Nikachombeza juu ya Dk Kalemani vipi wanannchi wamepokea vipi timuliwa yake?

Majibu ni kuwa hafai kabisa, hajawahi kuwa na msaaada. Hana lolote, hajawahi kusaidia jimbo lake. Na kwa mantiki hii nikajiuliza hivi 2025 atapata hata ubunge?
 
Naamini wengi wa waliokuwa timu mwendazake hawapo vzr ktk mbinu za medani ktk mbilinge za ndani ya chama na ndio maana natarajia wengi tu kutafuta shughul nyingine za kufanya baada ya wajumbe kufanya yao
 
90 ya wabunge wa Magufuli awarudi bungeni akiwemo ndugai 2025.

Uelewa wa watu umeongezeka, upinzani utarudisha majimbo yote na mengi ya ccm yataenda upinzani.

Zipo sababu 2025 silo atakuwa alishastaafu hawezi isaidia ccm ushindi,ccm hadi sasa hawana mtu anaeuzika kwa watz,jiwe pekee ndie aliyekuwa na ujasiri wa kuwatiisha wakurugenzi waibe kura.Slogan ya kupita bila kupingwa imekufa na muasisi wake.Watz wameona madhara ya ukosefu wa upinzani bungeni mambo ya hovyo kama tozo yakapita.

Kama unataka ingia bungeni anza sasa kujijenga kupitia upinzani, ccm haiuziki huku wanachama wake ambao wengi ni wazee idadi yao inazidi pungua thus ni lazima waombe msaada kwa ndugu zao police wawasaidie ushindi.Suala la machinga na ukosefu wa ajira limeibomoa kabisa ccm.
 
Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato?

Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge maana zilikuwa ni mbio maalumu. Ok zimeisha.

Mimi nikasema sitageuka home(kapuni) nikapita mitaa ya Chato Central kuna vijiwe kibao vya kahawa na muhu kwa kudaka habari. Nikachombeza juu ya Dk Kalemani vipi wanannchi wamepokea vipi timuliwa yake?

Majibu ni kuwa hafai kabisa, hajawahi kuwa na msaaada. Hana lolote, hajawahi kusaidia jimbo lake. Na kwa mantiki hii nikajiuliza hivi 2025 atapata hata ubunge?
Atapita tena bila kupingwa
 
90 ya wabunge wa Magufuli awarudi bungeni akiwemo ndugai 2025.
Uelewa wa watu umeongezeka, upinzani utarudisha majimbo yote na mengi ya ccm yataenda upinzani.
Zipo sababu 2025 silo atakuwa alishastaafu hawezi isaidia ccm ushindi,ccm hadi sasa hawana mtu anaeuzika kwa watz,jiwe pekee ndie aliyekuwa na ujasiri wa kuwatiisha wakurugenzi waibe kura.Slogan ya kupita bila kupingwa imekufa na muasisi wake.Watz wameona madhara ya ukosefu wa upinzani bungeni mambo ya hovyo kama tozo yakapita.
Well said mzee wangu
 
Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato?

Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge maana zilikuwa ni mbio maalumu. Ok zimeisha.

Mimi nikasema sitageuka home(kapuni) nikapita mitaa ya Chato Central kuna vijiwe kibao vya kahawa na muhimu kwa kudaka habari. Nikachombeza juu ya Dk Kalemani vipi wanannchi wamepokea vipi timuliwa yake?

Majibu ni kuwa hafai kabisa, hajawahi kuwa na msaaada. Hana lolote, hajawahi kusaidia jimbo lake. Na kwa mantiki hii nikajiuliza hivi 2025 atapata hata ubunge?
Labda walikuwa wafuasi wa chadema.
 
Si ulimi anao? Atalamba tuu!
 
Kwani huyo Kalemani alichaguliwa kwa kura na wanachato, au alitangazwa mshindi kwa maagizo ya yule kiongozi muovu aliyeko motoni?
 
Back
Top Bottom