Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,483
215,327
Usiseme_chochote_andika_tu_AMEN._%F0%9F%99%8F.jpg

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchini Tanzania , Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

JF ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
 
View attachment 1975718

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchi Tanzania Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

Jf ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
Ukiangalia hiyo picha ndio unajua kwanini wanatakiwa school failures kwa kazi hiyo
 
View attachment 1975718

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchi Tanzania Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

Jf ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
Mbona juzi juzi nikiwa nakunywa kahawa na wazee flani hapo mitaa ya Kariakoo nikasikia wanasema kwamba Makonda ni untouchable yaan hawezi kuguswa na mtu sababu ana waganga mashuhuri ambao alikuwaga anamuunganisha nao mzee kipindi kile
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom