Askofu Shoo: Rais Samia ameletwa ili atibu majeraha

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,037
20,400
Askofu Shoo wa Moshi Kilimanjaro ambapo pia ni askofu wa Kanisa la Lutheran,ambalo linamilik Hospitali kubwa kabisa hapa nchini ya kisasa na yenye mandhari nzuri zaidi KCMC amesema Rais Samia ameletwa ili atibu majeraha, swali:-

1. Majeraha tuliyo nayo ni yapi?
2. Majeraha yalianza lini?
3. Nani alisababisha hayo majeraha?
4. Wakati majeraha yameanza, yametokea na yameendelea[kama yapo] huyo Samia alikuwa wapi?

kama yapo, je UVCCM watakubali yatibiwe? kwakuwa wanufaika wakubwa wa majeraha ni wao na chawa wao?
 
Shoo hakuna asiyemjua ni njaa na tumbo lake la urafii,ndo linalomsumbua!!,aache uaskofu rasmi,tumkaribishe kwenye siasa.hawez kutumikia mabwana wawili!!
 
Kwa laugha nyepesi

1. Atekeleze na kufuata katiba

2. Amwachie mbowe
 
Ni mchaga huyo tunajua wanavyojifanya wanajua sana na walivyomchukia yule
pumbavu zake hana lolote ni tumbo lake ndo linalomsumbua, amejaa urafii na uroho wa pesa!!,aache uaskofu tumchangie mtaji wa biashara!! huyu bwasheee anasktsha Sana!!
 
Yeye ndiye anaweza kukuchangia Biashara; Wewe unaishi ukweni, yeye anaishi kwake, yeye anasomesha mayatima, wana hospitali ya KCMC ni leve au zaidi ya Muhimbili, wewe hata Kondom hapo ukweni unatumia za msaada wa watu wa marekani, in short huna guts ! wala chochote zaidi ya pumb* zinazoninginia hapo bila msada wowote wa wakwe zako.
 
ipo mahakama ndo itakayotoa hukumu ,kwa gaidi suspect!!

Unamaanisha mahakama

1. Imepiga marufuku shughuli za kisiasa Ambazo zipo kikatiba?

2. Inawatuma polisi kupiga watu hususani popote wanapotaka kukusanyika, haki ya kutafuta na kupashana habari kikatiba

3. Je ndio mahakama aliyosema Mbowe gaidi na wenzake wamefungwa na ushahidi upo? Kwanini aliingilia?

Hebu shusha majibu ueleweke
 
Shoo hakuna asiyemjua ni njaa na tumbo lake la urafii,ndo linalomsumbua!!,aache uaskofu rasmi,tumkaribishe kwenye siasa.hawez kutumikia mabwana wawili!!
Mwenzako ni msomi wa elimu ya dunia na dini, alikuwa dokta na sasa ni profesa, sijui njaa inaanzia wapi? Makanisa rasmi maaskofu ni wasomi.
 
Ukiwa jaji mfawidhi hivo nilitarajia uje na uchambuzi wa hoja ya shoo na sio kuja namaswali yako pia
 
Majibu tumewapa kwa sabaya, amekutwa na makosa matatu ambapo kila moja ni miaka 30 jumla ni 90 ila tukaagiza kama mahakama apewe 30 , yaani atumikie miaka 90 kwa wakati mmoja.
 
sawa jaji naamini nakwa mbowe mtafanya hukumu yakweli na iwe hivyo Wewe mwenyewe uliona kwenye PGO ilivokua ngumu upande wa Dola polisi dolani

Kamanda mzima he don't know anything about PGO ..

Pls don't let mbowe accomplish his remaing life in prison ,let him free
 
Askofu Shoo wa Moshi Kilimanjaro ambapo pia ni askofu wa Kanisa la Lutheran,ambalo linamilik Hospitali kubwa kabisa hapa nchini ya kisasa na yenye mandhari nzuri zaidi KCMC amesema Rais Samia ameletwa ili atibu majeraha, swali:-

1. Majeraha tuliyo nayo ni yapi?
2. Majeraha yalianza lini?
3. Nani alisababisha hayo majeraha?
4. Wakati majeraha yameanza, yametokea na yameendelea[kama yapo] huyo Samia alikuwa wapi?

kama yapo, je UVCCM watakubali yatibiwe? kwakuwa wanufaika wakubwa wa majeraha ni wao na chawa wao?
 
Attachments

  • IMG_0325.M4V
    13.9 MB
sawa jaji naamini nakwa mbowe mtafanya hukumu yakweli na iwe hivyo Wewe mwenyewe uliona kwenye PGO ilivokua ngumu upande wa Dola polisi dolani

Kamanda mzima he don't know anything about PGO ..

Pls don't let mbowe accomplish his remaing life in prison ,let him free
He don't !!?? He doesn't
 
Back
Top Bottom