NSSF kuwekeza Bilioni 34 Kufufua Viwanda vya NMC

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
16,004
Kwa mujibu wa Mkurugenzi mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara NSSF itawekeza Bilioni 34 kwa viwanda vya NMC vilivyopo Kyela,Iringa,Dodoma na Mwanza.

Haya yalizungumzwa na Mkurugenzi huyo Mbele ya Rais John Magufuli (Phd) wakati wa uzinduzi wa jengo la "Mafao" Jijini Arusha.

Chanzo: Daily News 10.5.2016

Nawapongeza NSSF kwa mpango huu ambao ni mwendelezo wa nia njema wa "Tanzania ya Magufuli ni ya viwanda"...Shime tusirudi nyuma,tuombe Mungu kwani miradi hii itakuwa chachu ya ajira kwa vijana wa Tanzania.

PPF,GEPF,PSPF wekezeni kwenye miradi ya kuzalisha ajira ili kuongeza wachangiaji wa mifuko yenu.

===================

NSSF injects 34 billion/- to revive NMC factories

THE National Social Security Fund (NSSF) is planning to revive the National Milling Corporation (NMC) mills and granaries across the country - in line with the industrialisation initiative spearheaded by President John Magufuli, it was revealed in Arusha.

According to the NSSF Director-General, Professor Godius Kahyarara, the pension fund will invest over 34bn/- to revive the state milling and grain storage facilities in Kyela District, Mbeya Region, Iringa, Dodoma and Mwanza with the four factories said to be valued at 80bn/-.

“The NMC factory at Iringa is in fact already operating - milling and packaging maize meal (flour), which sells cheaply at just 40 per cent of the market price,” said the NSSF chief, adding that the fund, in its five-year development strategy, will ensure that all NMC mills in the four regions are reclaimed, revived and put into active production.

Speaking during the occasion to inaugurate Mafao House, a commercial complex built by the NSSF as well as the PPF Plaza built by PPF Fund in Arusha, the Minister responsible for Policy, Parliament, Labour, Youth, Employment and the Disabled, Ms Jenista Mhagama, said a grand plan that will see social security schemes invest in new factories will be rolled out at the end of this month.

“While NSSF is working to revive the NMC facilities, I am on the other hand planning a joint meeting with all pension funds in the country to plan the establishment of new factories in the country, as well as reviving old but potential ones; the president’s initiative to make Tanzania an industrialised country is not a joke.

In a few years’ time, this is going to be the case,” she said. On his part, President Magufuli assured all pension schemes that plan to invest into factories and other productive industries that the government will give them a five-year tax holiday to help them gain ground.

“Many foreign investors have in the past enjoyed tax holidays; this time it is our own enterprises that will benefit from such incentives to boost local investments,” the president stressed.

While NMC granaries and mills are being revived in Mwanza, Mbeya, Iringa and Dodoma regions, it is still not known what will happen to the National Milling facilities located in the Unga Limited section of this city.

The NMC property is being used by a local miller, Philemon Mollel, through his Monaban Company Limited. Meanwhile, when NSSF together with its counterpart, the PPF Fund jointly invited Dr Magufuli to inaugurate their two new commercial complexes in Arusha; they probably expected the president to be impressed.

He was not. “While these two high-rise buildings may look beautiful to the eye, the amount invested into their constructions could have been channelled into better projects such as industrial premises and factories, to boost employment and increase state revenues,” the president pointed out.

He reminded pension fund officials that the rate of occupancy in the commercial buildings was astoundingly low, which reduced the towering structures into white elephant projects.

Dr Magufuli noted that the 60 billion/- invested by the two schemes for both buildings could instead have financed a number of factories to boost production for both local and export markets.
 
Wanamjua vizuri bakhresa alivyoishika hii biashara?wana ubavu? Au wanacheza na vipenshenj vyao?
 
Wanamjua vizuri bakhresa alivyoishika hii biashara?wana ubavu? Au wanacheza na vipenshenj vyao?

subiri waoneshwe game lilivyo.....badala kufanya kazi proffesionally wanataka kupelekwa pelekwa na wanasiasa.....wanasiasa wanahangaika kutimiza ahadi zao hewa
 
Tatizo la nyumbu mko negative 24hrs.

Huu siyo muda wa kulalamika ,ni muda wa kutoka mbele na kuhesabiwa kama kweli ni mzalendo kwa nchi yako.

huo sio uzalendo...hatuwezi kwenda kwa mizuka...fani zingine zitahitaji utaalamu sio kukurupuka
 
huo sio uzalendo...hatuwezi kwenda kwa mizuka...fani zingine zitahitaji utaalamu sio kukurupuka
Mmelishwa neno kukurupuka ,ndio kila kona kukurupuka!!!

Kama mlivyolishwa neno ,la Lowasa akihama ataipasua ccm..

Watetea mafisadi Mshindwe na mlegee...

Sisi tuko bize kupanda mabasi ya bure..
 
subiri waoneshwe game lilivyo.....badala kufanya kazi proffesionally wanataka kupelekwa pelekwa na wanasiasa.....wanasiasa wanahangaika kutimiza ahadi zao hewa
Dah kwa akili hizi unasikitisha kijana.Kwani hivyo viwanda si vinakuwa management yake?
 
Kwa mujibu wa Mkurugenzi mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara NSSF itawekeza Bilioni 34 kwa viwanda vya NMC vilivyopo Kyela,Iringa,Dodoma na Mwanza.

Haya yalizungumzwa na Mkurugenzi huyo Mbele ya Rais John Magufuli (Phd) wakati wa uzinduzi wa jengo la "Mafao" Jijini Arusha.

Chanzo:Daily News 10.5.2016

Nawapongeza NSSF kwa mpango huu ambao ni mwendelezo wa nia njema wa "Tanzania ya Magufuli ni ya viwanda"...Shime tusirudi nyuma,tuombe Mungu kwani miradi hii itakuwa chachu ya ajira kwa vijana wa Tanzania.

PPF,GEPF,PSPF wekezeni kwenye miradi ya kuzalisha ajira ili kuongeza wachangiaji wa mifuko yenu.
Hizo wright ups za hiyo miradi imeandikwa saa ngapi? Waache siasa wafanye utafiti kwanza kabla ya kufufua hiyo miradi. Lazima waandike business plan kwanza wajiridhishe kuwa jela haitapotea kama hiyo ya kalavati. Raisi kawashtua tu wapi wawekeze, wasiichukue hiyo statement wholesale. Wanaichangamkia haraka bila kujiridhisha kama inalipa!!!!
 
Tatizo la nyumbu mko negative 24hrs.

Huu siyo muda wa kulalamika ,ni muda wa kutoka mbele na kuhesabiwa kama kweli ni mzalendo kwa nchi yako.
Wewe si mzalendo unacheza na pensheni za wazee wetu na yako pia ili watu wapate kura
 
Hizo wright ups za hiyo miradi imeandikwa saa ngapi? Waache siasa wafanye utafiti kwanza kabla ya kufufua hiyo miradi. Lazima waandike business plan kwanza wajiridhishe kuwa jela haitapotea kama hiyo ya kalavati. Raisi kawashtua tu wapi wawekeze, wasiichukue hiyo statement wholesale. Wanaichangamkia haraka bila kujiridhisha kama inalipa!!!!
Good
 
Kinachokusumbua dogo ni chuki uliyopandikizwa inakufanya uwe "cynical"..yawezekana hata maisha yako ni magumu kwa sababu ya roho "negative".

piga kimya dogo acha kujihami.....maisha binafsi sio hoja hapa......acha kuongelea vitu ambavyo huna uwezo navyo kiakili....wewe ni kilaza
 
Wanamjua vizuri bakhresa alivyoishika hii biashara?wana ubavu? Au wanacheza na vipenshenj vyao?
Licha ya Bakhresa, nenda pale Manzese utaona mashine za Sembe zilivyojazana. Hawa jamaa wafanye utafiti isije ikala kwao mazima. Huwezi kuwekeza kwenye sekta ambayo ili ilete faida inategemea sekta nyingine na hapo ukitokea ukame wakulima wakashindwa kuzalisha mahindi lawama zitafuata toka kwa wastaafu
 
piga kimya dogo acha kujihami.....maisha binafsi sio hoja hapa......acha kuongelea vitu ambavyo huna uwezo navyo kiakili....wewe ni kilaza
Lowasa kawamwagia upumbafu na ulofa,ukichanganya na "umsukule" Mbowe aliyowapandikiza mnasikitisha.
 
Lowasa kawamwagia upumbafu na ulofa,ukichanganya na "umsukule" Mbowe aliyowapandikiza mnasikitisha.
sasa mkuu si afadhali yetu sisi tunawaza objectively sio kama ninyi mkurupukaji akikurupuka...haooooo...kama nyumbu vile
 
Back
Top Bottom