Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amani na utulivu, Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi. Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua...
14 Reactions
61 Replies
4K Views
Wana jamvi, Ni miongo kadhaa sasa kwa mjibu wa sheria kila anayepata ajali ili apokelewe na kutibiwa na hospitali/zahanati au vituo vya afya ni sharti mgonjwa awe na Fomu iliyotolewa na kituo cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu. Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma. Maana...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mirerani. Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema kwa sasa hazungumzi sana Bungeni kutokana na utendaji kazi mzuri wa Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Wanajamvi naangalia Matendo ya Mama nazidi kuchanganyikiwa hebu tushirikishane kidogo maana yake huko Nyuma tuliambiwa Hayati alikuwa ananyoosha nchi. Sasa hivi naona Mama anafanya yafuatayo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
" MTU yeyote mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbafu na wewe una akili anajua unajua Ni ya kipumbafu ukayakubali anakudharau" Mwalimu JK Nyerere Sina access kupakia video clip husika anaemudu aweke.
2 Reactions
2 Replies
761 Views
Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna makatibu wa CCM wilaya na Mikoa wasipobadilishiwa vituo vya kazi. Mapema na ksbla ya ichaguzi mkuu wavchama CCM 2022 watachagua mamluki na watu wasio na sifa. Pili wamekuwa miungu watu kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtangazaji nguli na mwendeshaji wa kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda aka Mtozi ameonesha kushangazwa na watanzania wa mitandaoni wanaotumia muda mwingi kumjadili...
2 Reactions
78 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Chekereni, Arusha amewaambia wananchi kuwa wanaotumbuliwa ni wale legelege ambao sio wachapakazi Amesema vijana wachapakazi ambao matunda yao yanaonekana hawawezi...
9 Reactions
75 Replies
6K Views
Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa. Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa uchache hapa nitaweka baadhi ya sera za kudumu za CHADEMA ambazo zinawagusa Diaspora moja kwa moja. Sera hizi zimekuwepo wakati wote toka CHADEMA ishike kasi hapa Tanzania na zilikuwa sehemu...
2 Reactions
3 Replies
804 Views
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana. Kubugi kwenyewe ni hivi...
131 Reactions
206 Replies
26K Views
Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo...
12 Reactions
44 Replies
4K Views
Hii ndiyo Taarifa ambayo wanaomsaidia Chifu Hangaya wanapaswa kufahamu, Jambo kubwa atakaloulizwa huko Marekani anakoenda ni kuhusu kuuawa kwa Demokrasia nchini Tanzania na Kesi ya uongo ya Ugaidi...
13 Reactions
48 Replies
6K Views
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Wanabodi, Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali. Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma...
5 Reactions
79 Replies
6K Views
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm. Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe...
15 Reactions
35 Replies
4K Views
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye...
14 Reactions
287 Replies
24K Views
Pamoja na Serikali kutoa TSH bilioni 3 kwa ajili ya kuwalipa watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 na kuahidiwa mwezi wa Tisa mwaka huu kuwa ndani ya wiki mbili watapata pesa zao Bado hakuna...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom