Sabaya kapprove kwamba takribani 50% ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.

Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.

Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.

Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
 
Shetani mama yako ,ebho!
 
Nilikuwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Musoma mjini !!Ukweli CCM haikushinda.Mkurugenzi Mungu anakuona.
Msimamizi wa uchaguzi aliweza kuandika idadi atakayo ili mradi anaipendelea ccm na asingeulizwa na mtu yeyote.
Mfano walioandikishwa 360 waliopiga kura 150 ccm kura 270 wengine za kwao halali.
Plaz hujuma kwenye kuchukua, kujaza na kurudisha fomu na mawakala!!!! Mtu wa Mungu hawezi kusema wabunge wote wa upinzani walishindwa kihalali. Huyo ataishia tu kuzimu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.

Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.

Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.

Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Ila hiyo 50% sijui umeipataje!
 
Kwa ujumla kuna mambo mawili ambayo mojawapo ni dhahiri, kuwa ni sahihi kuhusiana na marehemu:

1) Marehemu hakuwa amepona kwa 100% tatizo lake la ukosefu wa afya ya akili. Kuna taarifa kuwa aliwahi kutibiwa milembe mara mbili na Ujerumani mara moja kwa tatizo hilo. Kama uongozi wake mbaya ulitokana na afya ya akili, wa kulaumiwa siyo mgonjwa, bali ni mifumo yetu ya kuwapata vipngozi. Ilikuwaje mtu mgonjwa, tena mgonjwa wa akili kupewa mamlaka ya juu kabisa katika nchi?

2) Ndani yake alikuwa anaishi shetani. Hivyo yeye na wale alioshirikiana nao katika uovu ule wa kutisha ulifanywa na shetani. Walikuwa shetani katika maumbile ya wanadamu.

Matendo yale ya kuteka, kupoteza watu, kuua na kubambikia watu kesi, hayawezi kufanywa na binadamu mwenye akili timamu au mwanadamu yeyote ambaye ana Roho wa Mungu ndani yake.
 
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.

Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.

Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.

Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Wakati wa uchaguzi mkuu uliopita, Makonda hakuwa mkuu wa mkoa wa Dar.
 
Mie nawacheki waunga juhudi saivi Kiama Chao kinakaribia. 2022/2023/2024 unavifuata mtu atajifunza umalaya sio mzuri. Unaniacha mme wako kisa umepewa karanga za kuonjeshwa jamani ama umehongwa hela Fulani jamani
 
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.

Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.

Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.

Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Zaidi ya nusu ya majimbo ya uchaguzi kanda ya ziwa ccm walipoteza.
 
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.

Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.

Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.

Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
kawe hakushinda wa chadema alizidiwa kura 11000 za bila chenga
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom