CCM ni ileile, hii kauli ina maana kubwa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu.

Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma.

Maana yake nini? Mama Samia amerudisha CCM ile ya Kagoda, Meremeta, Symbion n.k?

My take; CCM inatakiwa iwe ileile ya enzi za Hayati Julius Nyerere.
 
Mlionufaika kipindi cha JPM kaeni Kwa kutulia Tu , aliwafurahsha wengine for the cost of others , jamaa alizima ajira za walimu ambazo kikwete alitenga fungu lake ,jamaa kibabe Tu akazizima, huku akiwaita walimu wa Sanaa ni wasaniii....!! Kundi kama hili sio rahsi kumkumbuka huyu mtu hata mfanyeje, ombeni Tu muwe na mwisho mwema katika kizazi chenu baas...
 
Kwani Laanatullahi Nyerere alifanya kipi kipya ambacho uongozi wa leo hawajakifanya ??

Nyerere aliuwa , aliiba mali za watu , alitia watu ndani ovyo ??aliwabambikizia watu kesi ambazo hata mahakamani hawakufika wakauliwa gerezani

nk
 
CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu.

Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma.

Maana yake nini? Mama Samia amerudisha CCM ile ya Kagoda, Meremeta, Symbion n.k?

My take; CCM inatakiwa iwe ileile ya enzi za Hayati Julius Nyerere.
Samaga konoko bhasambo sana..
 
Mlionufaika kipindi cha JPM kaeni Kwa kutulia Tu , aliwafurahsha wengine for the cost of others , jamaa alizima ajira za walimu ambazo kikwete alitenga fungu lake ,jamaa kibabe Tu akazizima, huku akiwaita walimu wa Sanaa ni wasaniii....!! Kundi kama hili sio rahsi kumkumbuka huyu mtu hata mfanyeje, ombeni Tu muwe na mwisho mwema katika kizazi chenu baas...
Hapo unawaongelea kina nani sasa?

Wana ccm au watu gani hasa?
 
CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu.

Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma.

Maana yake nini? Mama Samia amerudisha CCM ile ya Kagoda, Meremeta, Symbion n.k?

My take; CCM inatakiwa iwe ileile ya enzi za Hayati Julius Nyerere.
Umetumwa tumewambia CCM sio chama cha kikanda tunarudisha CCM kwa wananchi
 
Hata Chawa wa Chama cha Kimomunisti cha Romania pia walikuwa wakiuliza maswali kama haya.
Mbona wewe ni chawa wa gaidi?

Sikia dogo!

Ccm itaindolewa madarakani kwa mikakati na sera mbadala!

Siyo hizi kelele zenu mnazopiga humu kumjadili sabaya, mara marehemu.

Mlivyo wapumbavu mlifikiri kifo cha Magu kitawafanya sasa mambo yenu yawe rahisi.

Mna kazi ngumu iko mbele yenu, sisi tunawacheka tu mlivyowekeza nguvu kwenye vitu vya kijinga.

Muda ni mwalimu mzuri.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom