More like aliona upenyo wa kuwatumia kisiasa.Wanabodi,
Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali...
... unazungumzia mji gani na maeneo yapi Chief?Vibanda vimebomolewa mji leo umekuwaq mweupe kabisa, Kweli machinga waondoke tu na JPM
Ur comment determines your thinking capacity..stupid!!!Magufuli was a hypocritical ruler who preferred to use the underprivileged people for political milage. Nothing more.
CCM haipogo madarakani kwa sababu ya kura ya mtu yeyote yule toka mfumo wa vyama vingi uanze. Kura zake inapatikana kwa namna isiyoelezekaJe CCM haiutaki huu mtaji tena?
Ccm haishindi uchaguzi kwa kupigiwa kura, wake up.Je CCM haiutaki huu mtaji tena?