Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021. Akiongea na Waandishi wa Habari...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
The phantom of the new world order has harboured challenges that are dwarfing efforts of improving human life to such extents of causing ripple effects in global peace and stability. The world is...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao? Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ? Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi...
19 Reactions
97 Replies
11K Views
Hakika nilikuwa sijui kuwa Katibu Mkuu wa CCM ana mamlaka makubwa kiasi hiki. Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM anajitanabaisha na kujimwambafai kuwa yeye ndiye anayewewapangia Mawaziri na wakuu wa...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Wengi tunahudhuria mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu . Wengine tunafuatilia mitandaoni hatua kwa hatua mwenendo wa kesi nzima.... Kwa ambao hawajui au...
12 Reactions
84 Replies
9K Views
Naamini kwa dhati kabisa kile alichosema Sabaya, kwamba matendo ya kihalifu aliyofanya Arusha ilikuwa maagizo toka mamlaka iliyomteua na alipaswa kutii. Sabaya ameenda mbali, akasema haikuwa mara...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA ZA KIMATAIFA WA UFARANSA MHE. FRANCK RIESTER IKULU DAR ES SALAAM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Yesu kwa mifano yake, watu walishindwa kumnasa katika mitego waliyomtega. Aliwauliza "Hii picha ya Nani....wakajibu ya Kaisari" Baadaye akawaambie mpeni Kaisari vilivyo vya Kaisari na Mungu mpeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ni miezi mitatu kamili tangu kukamatwa kwenye masuala ya kongamano la Katiba Mpya na kurundikwa rumande kwa mwamba Mbowe, na baadaye kutengenezewa mashitaka ya kutunga ya ugaidi. Miezi mitatu...
14 Reactions
59 Replies
7K Views
Kujisahihisha na kuchukua uelekeo sahihi na makini ni Jambo la kiugwana. Vijana wa Tz wanapotoshwa sana, maisha sio rahisi ki hivyo sio kila mmoja awe mfanyabiashara, tunaharibu taifa kwa...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Basi Kisha Mtemi WA Wanatta akaendelea. "Siku Moja nilimvizia yule shujaa WA kijiji akiwa amekaa pembezoni mwa mto nikamsukuma akaangukia Mtoni, Kisha nikapiga filimbi na kelele za kuwatangazia...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimemsikia Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni kweli kwamba Ole Sabaya amethibitishwa na Mahakama kwamba alipora kiasi kikubwa cha Pesa za Mwananchi , raia mwema kwa kutumia mtutu wa bunduki ya kivita AK-47 , na ndio maana akahukumiwa...
14 Reactions
39 Replies
3K Views
Alikuwa akihojiwa na Maulid Kitenge kuhusu kusifia kila kitu yeye akasema, hajui kutaga yai lakini yai bovu analijua, ‘mimi kama kiongozi wa dini wajibu wangu ni kuangalia wapi panahitaji...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM. Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
Hii ni kwa sababu kipindi wanachopitia raia wake kwa sasa ni cha dhiki kubwa mno , ukichunguza utagundua kwamba Ni vigumu kwa raia wa Tanzania kwa sasa kupata milo mitatu , wengi wanapata mlo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mara 3 nilipata nafasi ya kuhudhuria mikutano ya kisiasa South.. kwa kiasi kidogo kuna kitu nilikigundua kuhusu Siasa za Africa kusini na Africa kwa ujumla. Mara zote hizo nilihudhuria mikutano...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Mtaalum ya Masuala ya Psychologia, Abraham Maslow Mnamo mwaka 1943, Alikuja na Majibu ya utafiti wake, Katika Mahitaji ya Binadamu, aliwela Wazi mahitaji Matano(5), kama nilivyoonyesha hapo chini...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom