Amini nakwambia. Kukimbizwa kwa kesi ya Sabaya ni ili kesi ya Mbowe imalizike coz ishakua ngetwa. Ipo hivi, Mbowe kupewa kesi ni ili kupisha kesi ya Sabaya iishe bila yeye kuwa kama shahidi kwa...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha utakaofanyika Desemba 11 mwaka huu.
Siku hiyo pia utafanyika uchaguzi mdogo wa diwani wa kata ya...
Watu wana msemo kuwa maneno tanaumba.
Sabaya alitoa haya maneno pale mkoani Kilimanjaro na wana Kilimanjaro tukapigwa na mshangao mkubwa.
Kweli maneno uumba.
..
Polisi bado wanachunguza kutoweka kwa mwandishi wa habari maarufu wa Tanzania Azory Gwanda ambaye alitoweka mwaka 2017, amesema Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa katika mkutano...
Nchi hii haiwezi kuendelea kama wananchi wa nchi hii hawatafanyakazi na kulipa kodi.
Tupo takribani 44,929,002 ila wanaokadiliwa kulipa kodi (watu pamoja na mashirika) ni 2.7 m.
Cha ajabu...
Hivi sasa kinachoendelea ni kwamba hofu kubwa sana ya CCM Taifa ni uwepo wa CHADEMA kama chama cha siasa hususani kinachojijenga kuwa chama mbadala kwa malengo chanya ya Taifa.
Kabla sijaendelea...
Binafsi sikushangaa kabisa kumuona Jerry Silaa akiingia na lundo la vitabu na manual zinazoelezea sheria za kodi.
Kinachonishangaza ni baadhi ya wadau kumtaka Jerry Slaa kuiweka hadharani salary...
Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda, ukiangalia namna nchi yetu iliyovyoendeshwa kuanzia 2005 awamu ya Kikwete mpaka 2015, na baadae 2015 mpaka 2020 awamu ya Magufuli utagundua kitu hapo...
Salaam wanajukwaa,
Maandiko matakatifu yanasema "usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine"
Naamini wanasiasa wengi ni wacha Mungu na wanayajua mafundisho vyema na msema kweli ni mpenzi wa Mungu...
Nimesoma mahali andiko la Jasusi Chahali kuhusu Mbowe kuwa mahabusu kwa siku tisini.
Katika andiko lake hilo amesikitishwa na kitendo hicho lakini kama nimemsoma vizuri mwishowe amewaangushia...
Hili linaweza kutokea tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa.
Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha...
Nilikuwa nafuatilia maadhimisho ya miaka 22 bila baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye sikuwai kumwona kwa macho nikashangaa sana na sikuelewa kuwa aliyokuwa anayaongea yule Mzee...
Raisi Samia pole kwa majukumu, napenda kukukumbusha kuwa kipindi kile bando limepanda Sana, ulitoa kauli na tunashukuru bei za bando mpya zikashushwa.
Ulienda mbali na kuonya hili suala...
Natumai unaendelea vyema na majukumu yako kama mwenyekiti. Naomba nitumie nafasi hii kutoa maoni yangu juu ya kauli zako na za viongozi wa chini yako wa UVCCM. Hii ni kama njia ya kuelimishana...
Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza.
Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara.
Kwa wiki mbili...
Siasa ni mchezo mbaya umejaa unafiki wa kila aina. Ninawasikiliza wanasiasa wanavyosema Mama umejenga, Mama umetenga, Mama unakusudi jema sana.
Yote hayo ni maneno mabaya kwa maana ya kumtwisha...
- Ni baada ya kuchoshwa na Vifo vitokanavyo na ajali zitokanazo na Madereva kutoheshimu alama za Barabarani.
- Achukizwa na kutowajibika kwa Watendaji wa TANROAD.
- Alitaka Jeshi la Polisi na...
Nimemuona Zito ametwiti kuwa iundwe tume ya kijaji kuhoji watu wote walioteswa, kuumiza na kuharibiwa mali zao wakati wa awamu ya tano.
Mimi naona nchi yetu inahitaji jambo kubwa kabisa kwa sasa...
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.
Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.