Sabaya amekuwa mfano mzuri wa wanaojifanya kutumwa na mamlaka za juu. Wengine kaeni mguu sawa

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,984
2,587
Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo.

Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua wanamtuma wewe ni nani hasa uendekee kufanya ujinga eti umetumwa? Vijana tulieni na mfanye kazi kwa weledi.
 
KESI YA SABAYA NI KESI YA KISASI TU ,ILA KESI ZA KISASI ZIMEGAWANYIKA MAKUNDI MAWILI na kundi la kisasi cha haki kimegawa nyika makundi mawili

1) KISASI CHA HAKI
a)kisasi cha haki cha kinafiki
b)kisasi cha haki kisicho cha kinafiki
2) KISASI KISICHO CHA HAKI
 
Jinai haifi tawala upita kama ulishiriki kufanikisha damu isiyo hatia kutolewa kafara ndizi inaendelea kuiva,jiandae huna kinga ya kuishinda nature.Ndumba na tunguli Katu haziwezi ishinda nature.
Wewe kama ni dereva ulimpakia Azory,Ben, ulikuwa getini mlinzi ukawafungulia magaidi wakamwaga damu ya Lisu, ulishiriki kununua viroba,vocha,toa usafiri au chochote damu za wasio hatia zikapotea jiandae.
 
Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo.

Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua wanamtuma wewe ni nani hasa uendekee kufanya ujinga eti umetumwa? Vijana tulieni na mfanye kazi kwa weledi.
Kilichomponza ni hiki cha kutaja mabosi zake, kwenye ishu kama zile umtaji boss Ili wakuokoe kwa njia nyingi wanazo.
Kuwataja ni kudhalilisha ni kutoa Siri lzm wakukaange.
Ngoja wavune mapando yao, viongozi wa dini waliwaonya awakusikia.
 
KESI YA SABAYA NI KESI YA KISASI TU ,ILA KESI ZA KISASI ZIMEGAWANYIKA MAKUNDI MAWILI na kundi la kisasi cha haki kimegawa nyika makundi mawili

1) KISASI CHA HAKI
a)kisasi cha haki cha kinafiki
b)kisasi cha haki kisicho cha kinafiki
2) KISASI KISICHO CHA HAKI
Huwezi pata kesi kama ukutenda Mungu ukuokoa.
Wazee wa escrow na uhamsho waliwabambika wakawaweka ndani bila ushahidi kwa aibu ya kukosa ushahidi zaidi ya uonevu wakawaachia.
 
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya wamemtoa nywele but ulinzi hawajamuondolea
IMG-20211018-WA0000.jpg
 
Chid aliwashauri waongeze ukubwa wa magereza hawakuelewa, iko wapi taskforce aliyoiongoza? Ije imuokoe leo kabaki peke yake
 
KESI YA SABAYA NI KESI YA KISASI TU ,ILA KESI ZA KISASI ZIMEGAWANYIKA MAKUNDI MAWILI na kundi la kisasi cha haki kimegawa nyika makundi mawili

1) KISASI CHA HAKI
a)kisasi cha haki cha kinafiki
b)kisasi cha haki kisicho cha kinafiki
2) KISASI KISICHO CHA HAKI

Kwa maneno haya unataka kusema case ya Sabaya ilikuwa upande gani hapo?
 
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya wamemtoa nywele but ulinzi hawajamuondolea
View attachment 1978608
Sabaya anasikitisha sana, it is accumulated behavioral characters toka akiwa chuo pale ambapo hakumaliza na kaenda nazo hadi kwenye uongozi huko. Ila naona bado anatembea na bodyguards wakimlinda kama enzi zile DC walinzi au akiwa kitaa na mabaunsa wake tofauti yake tu hapo ni ulinzi kwa muktadha tofauti

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi pata kesi kama ukutenda Mungu ukuokoa.
Wazee wa escrow na uhamsho waliwabambika wakawaweka ndani bila ushahidi kwa aibu ya kukosa ushahidi zaidi ya uonevu wakawaachia.
Wewe ni mpumbavuu original watu kama singasinga na rugema... unasema walisingiziwa wewe ni pumbavuu la mwisho ,na ufisadi wa rada ,watu kubeba pesa kwenye rumbesa
 
Kwa maneno haya unataka kusema case ya Sabaya ilikuwa upande gani hapo?
Namba moja a" kisasi cha haki cha kinafiki kwa sababu kuna mafisadi wakubwa nchini mfano kufutiwa kesi singasinga na mwenzake rugema.. ambao ni mafisadi wa kimataifa alisha haribu hadi nchi jirani.
 
Back
Top Bottom