Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO Nzega Mjini, TABORA. Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi. Kazipataje hizi pesa wakati...
28 Reactions
270 Replies
42K Views
Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio...
17 Reactions
34 Replies
3K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema kwa mujibu wa mujibu wa sensa ya viwanda ya Julai 2021 (NBS/WVB), idadi ya viwanda ni 80,969 Amebainisha kuwa kati ya viwanda hivyo...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa kwa vyombo vya habari hii hapa
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Kunausemi unasemaga ukistaajabu ya Musa. Leo katika jiji la Arusha aliyekuwa kamanda wa chama cha Demcrasia na Maendeleo Chadema Ally Bananga alirudisha kadi ya chama hicho katika mkutana mkubwa...
13 Reactions
121 Replies
11K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao Hayo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais John Magufuli akiwa mkoni Mwanza na kusikiliza kero za wananchi amewaruhusu wafanya biashara wadogo wadogo maarufu kama machinga kupanga bidhaa zao hata kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ama...
5 Reactions
193 Replies
24K Views
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini...
6 Reactions
110 Replies
7K Views
WAFANYABIASHARA ndogo wa Jiji la Arusha maarufu kama (machinga), wametoa zawadi ya ng’ombe kwa Rais John Magufuli. Wametoa zawadi hiyo kama ishara ya shukrani baada ya Rais kutangaza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya jambazi Lengai Ole Sabaya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, limejitokeza kundi la WANAFIKI wanaotaka Sabaya aonewe huruma. Lakini ni watu haohao walikaa kimya Sabaya alipovunja miguu...
66 Reactions
98 Replies
8K Views
Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in...
7 Reactions
131 Replies
13K Views
Nimejaribu kuangalia wabunge wa Bunge hili jipya walioingia kwa mara ya kwanza na waliorudi bado January Makamba anawakimbiza wote kuanzia exposure na talanta za uongozi. Kama kauli yako...
12 Reactions
274 Replies
31K Views
Kwa kweli sina milioni saba ya kulipa... Ila Mkuu ana maneno mazito! Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na...
32 Reactions
690 Replies
83K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kusitisha mara moja utekelezaji wa...
11 Reactions
585 Replies
78K Views
Sipendagi mijadala kama hii, inaligawa taifa na kuleta chuki... ila nimeanzisha sababu naona kama inasemwa sana na naona inafanania na ukweli sasa Rais Magufuli amesema bomoa iliyotakiwa...
48 Reactions
584 Replies
98K Views
Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita. Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Huyu baba alikuwa akiwatukana wazungu mara kwa mara na kuwaita majina ya ajabu ajabu Aliwavimbia wareno kule Angola mpaka wakasepa zao Ulaya Akawa mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom