Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,294
2,000
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.

Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.

Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji uwepo wa Waziri Mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.

Naona Serikali kupitia Waziri Mkuu wametekeleza hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa.

Kwa uwepo wa Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa Sirro.

Nadhani CHADEMA na ACT pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio Jaji Mtungi ambaye CHADEMA na ACT hawaoneshi kumuamini.

Swali ninalojiuliza.
Je, kwanini Rais hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na CHADEMA tokea Aprili 20 aliyoitoa kwa Mbowe.

Kwanini washauri wa Rais hawakutaka kabisa Mbowe na Rais Samia wakutane. Hata Kama Mbowe ni mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Rais baada ya kuongea na Mbowe.

Je, mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gani wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.

Je, Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?

Je, wewe kama Mtanzania unashauri upinzani ukaongelee nini haswa.
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,068
2,000
Lengo la mkutano huo NI kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.

Swali ninalojiuliza.
Je kwanini Raisi hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na chadema tokea April 20. Aliyoitoa kwa Mbowe.
Kwanini washauri wa raisi hawakutaka kabisa Mbowe na Raisi Samia wakutane. Ata Kama Mbowe NI mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Raisi baada ya kuongea na Mbowe.

Je mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gAni wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani Yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.
Je Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa chaddema wako bungeni?

Je wewe Kama mtanzania unashauri upinzani ukaongelee Nini haswa.
Kabla ya kushauri ni vyema kujua vyama gani vitashiriki
 
Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
832
1,000
Lengo la mkutano huo NI kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.
Bbc wamesema vyama vya upinzAni kukutana na waziri mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi Chadema na Act wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Waliitaji uwepo wa Waziri mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.
Naona Serikali kupitia waziri mkuu wametekeleza Hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa. Kwa uwepo wa Waziri mkuu na mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa siro. Nadhani Chadema na Act pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio jaji Mtungi ambaye chadema na Act hawaoneshi kumuamini.

Swali ninalojiuliza.
Je kwanini Raisi hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na chadema tokea April 20. Aliyoitoa kwa Mbowe.
Kwanini washauri wa raisi hawakutaka kabisa Mbowe na Raisi Samia wakutane. Ata Kama Mbowe NI mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Raisi baada ya kuongea na Mbowe.

Je mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gAni wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani Yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.
Je Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa chadema waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?

Je wewe Kama mtanzania unashauri upinzani ukaongelee Nini haswa.
Majaliwa atakutana na kina cheyo,Mrema, shibuda
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
125,013
2,000
Waziri Mkuu siye anayepanga nini vyama vya siasa vifanye na nini visifanye. Hayo yote yameshaainishwa ndani ya Katiba. Aache kujibaraguza na kupotezea watu muda wao. Vyama vinavyojitambua havitatia mguu bali vyama UCHWARA vitakuwepo.

Lengo la mkutano huo NI kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.
Bbc wamesema vyama vya upinzAni kukutana na waziri mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi Chadema na Act wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Waliitaji uwepo wa Waziri mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.
Naona Serikali kupitia waziri mkuu wametekeleza Hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa. Kwa uwepo wa Waziri mkuu na mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa siro. Nadhani Chadema na Act pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio jaji Mtungi ambaye chadema na Act hawaoneshi kumuamini.

Swali ninalojiuliza.
Je kwanini Raisi hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na chadema tokea April 20. Aliyoitoa kwa Mbowe.
Kwanini washauri wa raisi hawakutaka kabisa Mbowe na Raisi Samia wakutane. Ata Kama Mbowe NI mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Raisi baada ya kuongea na Mbowe.

Je mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gAni wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani Yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.
Je Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa chadema waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?

Je wewe Kama mtanzania unashauri upinzani ukaongelee Nini haswa.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
89,798
2,000
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.

Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.

Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji uwepo wa Waziri Mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.

Naona Serikali kupitia Waziri Mkuu wametekeleza hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa.

Kwa uwepo wa Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa Sirro.

Nadhani CHADEMA na ACT pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio Jaji Mtungi ambaye CHADEMA na ACT hawaoneshi kumuamini.

Swali ninalojiuliza.
Je, kwanini Rais hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na CHADEMA tokea Aprili 20 aliyoitoa kwa Mbowe.

Kwanini washauri wa Rais hawakutaka kabisa Mbowe na Rais Samia wakutane. Hata Kama Mbowe ni mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Rais baada ya kuongea na Mbowe.

Je, mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gani wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.

Je, Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?

Je, wewe kama Mtanzania unashauri upinzani ukaongelee nini haswa.
Waziri Mkuu kama Majaliwa hana Mamlaka yoyote ya kisheria ya kukutana na vyama vya siasa .

Bila shaka Chadema haitahudhuria jambo hilo
 
mweusi asili

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
1,598
2,000
Mkuu ndani ya hii Serikali haramu kuna wapuuzi wengi sana. Wanadhani wao wako juu ya Katiba.
Kuna vitu vingine ni upumbavu Sana, Sasa baadhi ya vyama vya siasa vinazuiliwa visifanye kazi zao halafu eti wanaita kukutana halafu wanaenda kujadili mambo ambayo yako wazi kisheria ni wastage tu, ndio nimeona habari kwenye gazeti la mwananchi kuwa mama aivunja ngome ya Chadema Arusha Sasa unajiuliza ile ziara ni ya Raisi au Mwenyekiti wa chama apoapo wapinzani wanazuiliwa kufanya mikutano ni upuuusi
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,282
2,000
Vyama vyote kaka

Nchi hii mwenye kauli ya mwisho kuhusu mazingira ya shughuli za kisiasa ni MMOJA tu: Rais. Ndiye anayeweza kuamua chochote ingawa si utaratibu sahihi katika demokrasia.

Ni Rais ndiye aliyeminya uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zao. Yeye ndio anatakiwa akaeleze kwa nini kafanya hivyo na asikilize opposition wanasemaje kuhusu hilo. PM ni kipaza sauti tu cha HMS; hawezi kuwa na maamuzi yake binafsi yanayoweza kufanyiwa kazi.

Kama HMS hatakuwepo kwenye kikao hicho basi hakuna chama makini kitakachohudhuria. Na hakuna mtu makini atakayepoteza muda wake kufuatilia porojo hizo.
 
Jimbi

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
3,506
2,000
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.

Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.

Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji uwepo wa Waziri Mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.

Naona Serikali kupitia Waziri Mkuu wametekeleza hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa.

Kwa uwepo wa Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa Sirro.

Nadhani CHADEMA na ACT pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio Jaji Mtungi ambaye CHADEMA na ACT hawaoneshi kumuamini.

Swali ninalojiuliza.
Je, kwanini Rais hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na CHADEMA tokea Aprili 20 aliyoitoa kwa Mbowe.

Kwanini washauri wa Rais hawakutaka kabisa Mbowe na Rais Samia wakutane. Hata Kama Mbowe ni mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Rais baada ya kuongea na Mbowe.

Je, mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gani wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.

Je, Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?

Je, wewe kama Mtanzania unashauri upinzani ukaongelee nini haswa.
Mwambieni matumizi ya kodi na tozo zetu kwa mgawanyo wa namna hii ni DHULMA na UHALIFU kwa Wadanganyika.
Bajeti ya Hovyo.PNG
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,156
2,000
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.

Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.

Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji uwepo wa Waziri Mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.

Naona Serikali kupitia Waziri Mkuu wametekeleza hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa.

Kwa uwepo wa Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa Sirro.

Nadhani CHADEMA na ACT pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio Jaji Mtungi ambaye CHADEMA na ACT hawaoneshi kumuamini.

Swali ninalojiuliza.
Je, kwanini Rais hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na CHADEMA tokea Aprili 20 aliyoitoa kwa Mbowe.

Kwanini washauri wa Rais hawakutaka kabisa Mbowe na Rais Samia wakutane. Hata Kama Mbowe ni mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Rais baada ya kuongea na Mbowe.

Je, mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gani wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.

Je, Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?

Je, wewe kama Mtanzania unashauri upinzani ukaongelee nini haswa.
Tundu Lissu kashafanya yake. Wanatapa tapa. Watatutafuta tu
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,282
2,000
Kuna vitu vingine ni upumbavu Sana, Sasa baadhi ya vyama vya siasa vinazuiliwa visifanye kazi zao halafu eti wanaita kukutana halafu wanaenda kujadili mambo ambayo yako wazi kisheria ni wastage tu, ndio nimeona habari kwenye gazeti la mwananchi kuwa mama aivunja ngome ya Chadema Arusha Sasa unajiuliza ile ziara ni ya Raisi au Mwenyekiti wa chama apoapo wapinzani wanazuiliwa kufanya mikutano ni upuuusi

Unachomoa gurudumu la gari la jirani yako halafu, badala ya kurudisha hilo gurudumu, unamuita azungumze na mdogo au mtoto wako ili “muafaka” wa “tatizo” upatikane!

Bila shaka serikali hii inaamini kwa dhati kabisa kuwa watu inaowangoza ni mazuzu. Ukweli ni kuwa hawataki serious opposition kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom