Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa muhimu kwa Umma: Waziri Makamba Ziarani nchini Saud Arabia Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba yupo Ziarani nchini Saudi Arabia kwa mualiko wa Waziri wa Nishati wa nchi hiyo...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Bila kuuondoa umaskini ni vigumu sana kusimika demokrasia. Nchi zote zenye demokrasia iliyoshamiri zimefika hapo baada ya kupiga hatua kubwa kuuondoa umaskini. Mambo matano ya yanayofanya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
NUKUU ZA RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA WIKI YA UWT. "Tumekutana hapa kwa madhumuni makuu mawili, moja ni kuadhimisha kilele cha Wiki ya UWT Kitaifa na jambo la pili ni kumuenzi Hayati Bibi Titi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu, Kwa siasa za Tanzania zilipopitia, upinzani hasa CHADEMA ilitakiwa iwe na watu wao wanaowapa taarifa zote wanazohitaji katika idara zote za nchi hii. Niliwahi kuelezea humu ndani nini...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukifuatilia kwa ukaribu mambo mengi aliyokubaliana wazi wazi na mtangulizi yeye akiwa msaidizi wake kwa sasa amekuwa kinyume nayo. Mfano suala la machinga Samia katika kikao fulani alichokuwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
4 Reactions
81 Replies
8K Views
18 Reactions
96 Replies
7K Views
Godbless Lema ni mmoja ya wanasiasa mahiri, na uwa nampenda kwa misimamo yake, na hasa kipindi cha mwanzo alivyoingia Bungeni. Ila shida moja ambayo naona inazidi kukua na kutamalaki. Lema amekuwa...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kasi ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao inapungua kutokana na rasilimali watu, fedha, vifaa na muda kuelekezwa kwenye kitatua shida ambazo zimezalishwa na viongozi tuliowapa madaraka na...
1 Reactions
3 Replies
864 Views
Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa...
19 Reactions
58 Replies
5K Views
Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao. CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
hivi wale jamaa wakishinda na muungano kuvunjika litakuwa jambo la faida au hasara kwa Tanganyika? je tutapata fursa ya kuandika katiba mpya? au mambo yataendelea kama yalivyo?
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Hivi sasa huko Marekani kuna mijadala inaibuka kwa kasi sana kwamba: Kwenye mifumo ya shule zao kuwepo na mafundisho kuhusu 'Slavery' ama kwa kifupi kuhusu Civil Rights Movements na hata kuhusu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwenye kila utawala kuna Viongozi ambao wanawakilisha utawala huo zaidi ya wengine. Na utawala wa Magufuli huyu Prof. Kabudi aliuwakilisha zaidi ya wengine.. Ubabe.. Vitisho... Amri.. Na Sura za...
21 Reactions
59 Replies
5K Views
Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma. Mzee John...
13 Reactions
104 Replies
11K Views
MIAKA 20 BILA YA NYERERE: Wahaini wa 1968 walivyoadhibiwa-7 WEDNESDAY OCTOBER 09 2019 Oscar kambona Summary Kama Tanganyika ilikuwa tulivu tangu ilipopata uhuru wake, basi utulivu huo hauna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
..James Orengo ana historia ndefu sana ktk harakati za mageuzi ya katiba na demokrasia nchini Kenya. ..amepitia misukosuko mingi ikiwemo kutiwa kizuizini na hata kulazimika kukimbia nchi yake...
9 Reactions
28 Replies
9K Views
Nawasalimu wana jamvi kwa jina la Jamii Forums. Hayati JP Magufuli hatafufuka. Hypothetically, kama ingekuwa inawezekana kufufuka, na kama ungekuwa wewe ungefanya nini baada ya kufufuka. Je...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom