Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kesi nyingi zilizofunguliwa na awamu ya JPM zimefutwa, watuhumiwa wengi tulioambiwa walihujumu uchumi wakanyimwa dhamana wameachiwa kwa maelezo kwamba serikali haina umuhimu wakuendelea na kesi...
3 Reactions
8 Replies
45K Views
Mbunge mstaafu Vicky Kamata amesema aliamua kugombea ubunge Kibamba badala ya Geita kwa sababu yeye ni mkazi wa Kibamba na pia mbunge aliyekuwepo alikuwa hajafanya lolote la maana la kuwaletea...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ngome ya Vijana tunatambua jitihada za serikali kupitia Bodi ya Mikopo katika utoaji wa mikopo elimu ya juu kwa wanafunzi mbalimbali. Lakini jitihada hizi zimekuwa na kasoro mbalimbali katika...
7 Reactions
5 Replies
2K Views
Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela...
18 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakenya wamejiongeza kula bingo hapo Secretariat - Arusha, Wabongo wamebakia wafagizi na madereva (comfortably). Wabunge toka Uganda wamestukia michezo ya wakenya kupiga sarakasi na kuendelea...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Ndugu wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Huu ni mtazamo wangu... Tofauti kati ya mataifa tajiri na mataifa masikini duniani siyo umri wa Taifa fulani. Ushahidi huu...
5 Reactions
6 Replies
816 Views
Mwaka 2015 CCM ilipasuka vipande vipande baada ya mzee Lowassa kuhamia Chadema na mzee Membe kununa. Hayati Magufuli alipokabidhiwa chama alifanikisha kuwarejesha kundini wanachama wote...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Leo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa...
18 Reactions
185 Replies
15K Views
Makamanda wa Mwanza Nyamagana na walio nje ya Mwanza mapambano yanaanza sasa. Wakazi wa Mwanza tunamkumbuka Wenje jinsi alivyoipambania wilaya ya Nyamagana ndani na nje ya bunge kwa watu wa kada...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nayaona mabadiliko makubwa ya kidemokrasia nchini yatakayoambatana na vurugu zitakazosabsbishwa na watu waliochoka kunyanyaswa,kutishiwa, kubambikiwa kesi na kupigwa. Kuna vuguvugu kubwa linakuja...
43 Reactions
83 Replies
7K Views
Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Nimeona nikukumbushe mapema kuhusu jambo hili kutokana na umuhimu wake . Lissu alishambuliwa mchana Dodoma , hatuna haja ya kukumbusha yaliyojili , bali itoshe tu kusema kwamba hakuna juhudi...
18 Reactions
41 Replies
5K Views
Baada ya kuapishwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania, Mhe. Jaji Kiongozi Mustapha Siyani ametoa mwelekeo wake kupitia Hukumu yake ya Kwanza kama Jaji Kiongozi. Nimesema mwelekeo...
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amesema baada ya wananchi kuzuiwa kumuona mwenyekiti Freeman Mbowe gerezani leo alimtuma wakili wake akaonane naye. Wakili amemuona mwenyekiti ni mzima na...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Mh hangaya alipokuwa moshi leo ameikataa moshi kupandishwa kuwa mji akisema haina sifa My take kaamua kubalance na chato Minne inatosha
6 Reactions
243 Replies
20K Views
Haki haijawahi kujificha. Jaji Siyani kwa kujiridhisha kuwa: 1. Mshitakiwa wa pili alikamatwa akawasaidia polisi kumtafuta Mosses Lijenje Moshi, Boma Ng'ombe hadi Arusha, 2. Njiani wakapata...
25 Reactions
176 Replies
12K Views
Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo? #HABARI Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Moja ya kitu ambacho kulikuwa cha kushangaza ni pale katika awamu iliyopita viongozi kutoa sifa kwa Rais ambazo zilipitiliza. Hii imekuwa tabia ya muda mrefu sana Rais kusifiwa kupitiliza na...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Ni kweli anafanya kazi nzuri hadi sasa licha ya ukweli kwamba bado hatujafika tunapopataka. Lakini jamani hizo sifa mnazompa Rais Samia zisitiwe chumvi, msivuke kiasi cha kujifanya kama hii nchi...
1 Reactions
1 Replies
675 Views
Back
Top Bottom