The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,842
Kwenye kila utawala kuna Viongozi ambao wanawakilisha utawala huo zaidi ya wengine. Na utawala wa Magufuli huyu Prof. Kabudi aliuwakilisha zaidi ya wengine..
Alipokuja Samia na kuanza kupotea na wananchi tukaanza tena kulala vizuri bila kuwa na wasiwasi wa sheria ipi inaweza tumika..'kutukomesha'. Ghafla kaibuka na sheria ya kutunza pesa. Na sasa hatujui kesho ataibuka na sheria gani ingine iliyopitwa na wakati ya kuwatishia wananchi...
Pesa ni pesa...pesa sio Qur'an tukufu wala sio Bible takatifu...ni human creations. Other humans wakijisikia kuikejeli iwe kweli au maigizo let them be....
Kwa kubudi kuibuka na vitisho hivi inaonesha bado wazi anaishi in the sixties..ambako na kauli za "mabeberu".
Na siasa za ujamaa na kujitegemea zilizofanana kidogo na siasa za Communism za China ya Mao na USSR ya kina Stalin.
Watu aina walishapitwa na wakati ...wanapaswa kuwekwa museums of history haraka sana....Samia afanye haraka ampumzishe huyu na sheria ya 'kuabudu' pesa kama dini ibadilishwe haraka. kuna watu wengi wanaishi kwa kutegemea pesa za kutunzwa na huwezi zuia watu kuwarushia na kudondoka chini hasa kwenye entertainment industry.
Sheria hizi za ki komunisti zifutwe na hawa wazee kama Kabudi wafutwe haraka ...walishapitwa na wakati kabla hata hawajateuliwa...
- Ubabe..
- Vitisho...
- Amri..
- Na Sura za kuogofya kwa watawaliwa na wananchi...huyu Kabudi alikuwa anawakilisha vyema kabisa.