Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau nawasabahi, Tunaziomba mamlaka zote zinazohusika na zoezi la kuwaondoa machinga kuwa zoezi hili liwe la kudumu kwani mazoezi kama haya huwa ya nguvu ya soda kutokana na kufanyika kisiasa...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Unamiliki mali nyingi sana, unamiliki mashamba pori mengi sana lakini bado una tamaa ya kuendelea kuchochea migogoro ya mashamba na maeneo waliko wananchi kisa hayo maeneo yawe yako kwa nguvu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mhe. Kusiruka. Yeyote mwenye...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
Tanzania ni nchi moja katika zinazoangukia kwenye ule ukanda ambao wananchi wake hawana furaha katika nchi zao wenyewe. Pamoja na sisi ni Uganda, Rwanda, Burundi na Zimbabwe. Hawa wengine si...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo Sudan viongozi Wanashikiliwa na waasi wanao ipinga serikali, majuzi hapa tulisikia mapinduzi huko Guinea. Mabara mengine habar hizi ni nadra sana kuzisikia Kama si walisha achana nayo. Swali...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito: Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema...
51 Reactions
187 Replies
12K Views
Machinga ni watu Wenye mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa lolote , hakuna Taifa liloendelea kiuchumi bila kuwa na informal sectors, mfano mzuri ni nchi ya China kwenye miaka ya 1990s Mji wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Makelele ya kwamba wanaonewa sio kweli, serikali ipo makini sana na inajua inachokifanya na kwa faida yao hao wanaojulikana kama wamachinga. Ukweli mchungu na unauma, wafanya biashara hawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu yangu ni mkulima wa jembe la mkono. Analima shamba lake na analimia watu ili kupata pesa ya sukari na sabuni. Kuna siku kazi za kulimia watu zinakosekana. Ikifika hali hii mke wake...
36 Reactions
111 Replies
8K Views
Nawasalimu sana kwa jina la JMT yetu pendwa! Baada ya mheshimiwa raisi kuagiza fedha za IMF kwenda kwenye elimu na kujenga madarasa ili watoto wa kidato cha kwanza mwakani wasipate tabu ya...
13 Reactions
201 Replies
14K Views
Akili ziliwaongoza sana na mkawa vinara. Shukrani ziwaendee mlipo wengi hawajui ukweli wa mambo kwa sababu hawajatembea bali wanasikia sikia tu kilichokuwepo na ilichotokea. Nawapongeza sana...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu. Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa...
18 Reactions
146 Replies
12K Views
Kwa heshima na taadhima naomba kushauri suala la elimu kwa nia njema maana yake inaenda kuwa chakavu na mbaya kutokana na upungufu mkubwa wa rasilimali watu (waalimu) katika shule nyiingi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni tafsiri mbovu na mbaya inatolewa pale wachuuzi walioamua kujenga vibanda barabarani na kufanya biashara zao kuitwa wamachinga Wamachinga bado wapo na wanaendelea na Biashara zao, Wamachinga ni...
26 Reactions
66 Replies
7K Views
Ndugu zangu wanaJF! Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa kawaida huwa tunalinganisha system ya kitu na kitu fulani ,mfano nchi zilizotawaliwa na Uingereza hufuata mfumo wa jumuiya madola katika mfumo wa kiutawala na mambo ya mila na desturi katka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dr. Edwin Mhede ndiye pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB. TRA ndiye mkusanya kodi na mapato wa nchi hii wakati NMB ni mmoja...
10 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu zangu wa JF Naongea kwa upendo na uzalendo mkubwa kwa nchi yangu ya Tanzania Namzunguzia Ndg Maxence Melo Huu ni wakati muafaka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumteua na...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom