Japo wewe si John Pombe Magufuli, ungekuwa yeye na ukafufuka ungefanya nini?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
Nawasalimu wana jamvi kwa jina la Jamii Forums. Hayati JP Magufuli hatafufuka. Hypothetically, kama ingekuwa inawezekana kufufuka, na kama ungekuwa wewe ungefanya nini baada ya kufufuka.

Je ungemuita Harbinder Setih Singh na James Rugemalira Ikulu na kuwapa nishani au kuwazaba makofi na kuamuru warejeshwe korokoni. Je ungemwambia nini Dkt Bashiru Ally Kakurwa na Hamphrey Polepole bila kusahau Medard Kalemani? Je ungeongeaje na Rais SSH usawa huu?

Je, ungewaambia nini wamachinga?

Je, ungeshughulikiaje tetesi kuwa ule ujambazi wa kutisha wa Bandari ya Bagamoyo umehalalishwa? Je ungemteua nani kuwa makamu wako? Je ungeanza kufanya jambo gani? Maswali ni mengi na ni mawazo tu.

Naomba kuwasilisha.
maxresdefault.jpg
 
Mawaziri wote, MaRC na MaDED wote nafukuzia mbali. Kumbe hawakunipenda kwa sababu ya Mapenzi na Utikadi zangu bali walinipenda kwa sababu ya pesa zangu na vyeo nilivyowapa.

Tatu napasua Tume ya uchaguzi, nafukua Taasis ya usalama wa Taifa na IGP nafukuzia mbali.
 
😍😍😍😍😍😍😍
 
Jengo la bunge ningewapeleka wamachinga,
Kijana wangu alieko jela anakuwa VP
Baraza la mawaziri wanabaki wanne tu, hakuna faida ya kujaza tena kila mmoja anasimamia wizara 3 zingine nazifuta

Waliokubali chanjo nawachoma kumi kumi hadharani wafweee

Hapo mimi kama mimi ni kinyume kabisa ila kama yaani kama ni ndoto basi ingekuwa hivyo halafu nashtuka huku jasho linanitoka
 
Nawasalimu wana jamvi kwa jina la Jamii Forums. Hayati JP Magufuli hatafufuka. Hypothetically, kama ingekuwa inawezekana kufufuka, na kama ungekuwa wewe ungefanya nini baada ya kufufuka. Je ungemuita Harbinder Setih Singh na James Rugemalira Ikulu na kuwapa nishani au kuwazaba makofi na kuamuru warejeshwe korokoni. Je ungemwambia nini Dkt Bashiru Ally Kakurwa na Hamphrey Polepole bila kusahau Medard Kalemani? Je ungeongeaje na Rais SSH usawa huu? Je ungewaambia nini wamachinga? Je ungeshughulikiaje tetesi kuwa ule ujambazi wa kutisha wa Bandari ya Bagamoyo umehalalishwa? Je ungemteua nani kuwa makamu wako? Je ungeanza kufanya jambo gani? Maswali ni mengi na ni mawazo tu. Naomba kuwasilisha.
maxresdefault.jpg
Ningewaomba watz wote msamaha kwa kuwadanganya na kuwatesa.
 
Ungefufuka unakuta tayari nchi ina rais kamili. Mitizamo/mawazo/maoni ambayo ungefufuka nayo ungekuja kuwa mshauri kama rais mstaafu.
Na huenda ungekuja na mtazamo mpya kutokana na yale uliyoyaona huko na jinsi ulivyoitazama Tanzania ukiwa umesimama pembeni.
 
Nawasalimu wana jamvi kwa jina la Jamii Forums. Hayati JP Magufuli hatafufuka. Hypothetically, kama ingekuwa inawezekana kufufuka, na kama ungekuwa wewe ungefanya nini baada ya kufufuka. Je ungemuita Harbinder Setih Singh na James Rugemalira Ikulu na kuwapa nishani au kuwazaba makofi na kuamuru warejeshwe korokoni. Je ungemwambia nini Dkt Bashiru Ally Kakurwa na Hamphrey Polepole bila kusahau Medard Kalemani? Je ungeongeaje na Rais SSH usawa huu? Je ungewaambia nini wamachinga? Je ungeshughulikiaje tetesi kuwa ule ujambazi wa kutisha wa Bandari ya Bagamoyo umehalalishwa? Je ungemteua nani kuwa makamu wako? Je ungeanza kufanya jambo gani? Maswali ni mengi na ni mawazo tu. Naomba kuwasilisha.
maxresdefault.jpg
This is too much, mwacheni JPM apumzike kwa amani, na kwa vile kule yeye ameitwa na no one knows kule kwa sasa amepewa madaraka gani, one thing for sure kwa sisi waumini wa life after life, tunaamini anayaona yote, hivyo kama haridhiki na kinachoendelea kwenye ile iliyokuwa Tanzania yake, then anaweza kumwambia Naniliu akaendelea kuita watu kwake!.

P
 
Nawasalimu wana jamvi kwa jina la Jamii Forums. Hayati JP Magufuli hatafufuka. Hypothetically, kama ingekuwa inawezekana kufufuka, na kama ungekuwa wewe ungefanya nini baada ya kufufuka. Je ungemuita Harbinder Setih Singh na James Rugemalira Ikulu na kuwapa nishani au kuwazaba makofi na kuamuru warejeshwe korokoni. Je ungemwambia nini Dkt Bashiru Ally Kakurwa na Hamphrey Polepole bila kusahau Medard Kalemani? Je ungeongeaje na Rais SSH usawa huu? Je ungewaambia nini wamachinga? Je ungeshughulikiaje tetesi kuwa ule ujambazi wa kutisha wa Bandari ya Bagamoyo umehalalishwa? Je ungemteua nani kuwa makamu wako? Je ungeanza kufanya jambo gani? Maswali ni mengi na ni mawazo tu. Naomba kuwasilisha.
maxresdefault.jpg

Naona bado upo kwenye hangover
 
Umevuta ya wapi mzee?
 
Back
Top Bottom