BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
MIAKA 20 BILA YA NYERERE: Wahaini wa 1968 walivyoadhibiwa-7
WEDNESDAY OCTOBER 09 2019
Oscar kambona
Summary
Kama Tanganyika ilikuwa tulivu tangu ilipopata uhuru wake, basi utulivu huo hauna tafsiri ile ile ambayo Watanzania wengi wanaifikiria. Ule mwongo wa kwanza tangu uhuru kulijitokeza mambo mengi, na mengine hayakujulikana sana, na huenda hayatajulikana kamwe. Tukio muhimu zaidi lilitukia mwaka 1968 ambalo baadhi ya maofisa wa serikali walidaiwa kula njama za kuipindua Serikali ya Mwalimu Nyerere. Mwandishi William Shao anaelezea katika makala hii...Ingawa alikuwa maarufu sana Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumla, Mwalimu Julius Nyerere alikabiliana na magumu mengi katika siasa. Alikuwa katika majaribio mengi ya utawala wake kuangushwa. Wengi waliomwinda walikuwa ni wa ndani na nje ya serikali yake.
MIAKA 20 BILA YA NYERERE: Wahaini wa 1968 walivyoadhibiwa-7
Ingawa alikuwa maarufu sana Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumla, Mwalimu Julius Nyerere alikabiliana na magumu mengi katika siasa. Alikuwa katika majaribio mengi ya utawala wake kuangushwa.
www.mwananchi.co.tz