johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,867
- 141,804
Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza.
IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza wakati anakagua nyumba mpya za askari.
Source ITV habari