Kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekumbusha Serikali ya Tanzania kubadili uamuzi wake wa kujitoa katika Mahakama ya Afrika na kurejea kwenye Mahakama hiyo ili kuimarisha heshima ya...
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine...
Wakuu
Leo katika hotuba ya raisi bungen dodoma, amaeleza kuwa ataboresha vitambulisho vya wajasiriamali wadogo wadogo, Kwa kuweka jina, na picha
Hapo awali kitambulisho hakikuwa na kitu chochote...
Kuna watu ndani ya mfumo wa Serikali na chama Tawala wameshaona wananchi si kitu. Leo wakisikia mtu mmoja kasema funga wanasifia, kesho wakisikia fungia wanaendelea kupiga makofi. Watu wa aina hii...
CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea.
Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea...
Habari zenu Wana wa JF.
Ukiingia katika ukurasa wa Twitter wa Mheshimiwa January Makamba Waziri wa Nishati, utabaini Jambo.
Jambo hilo sio jingine bali ni yeye kualika wataalamu na wadau wa...
Kiukweli Watanzania kama taifa bado tuna safari ndefu sana kufika kule tunakotarajia kufika.
Jana mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Bunge mh Mwakasuka na wajumbe wa kamati wametumia takribani...
WAAFRIKA wamezaliwa na roho ya ajabu sana, wamezaliwa na roho yakuumizwa na mafanikio yako Hadi kufikia mahali kutumia fedha au madaraka kukukandamiza.
Kitendo cha viongozi wa dini kusimama na...
Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Nitetee Foundation kinachorusha runingani mambo ya kijamii, hasa matatizo , mwanadada Flora Lauwo ametia nia kugombea ubunge, Viti Maalum CCM, Mwanza.
Nasikitishwa sana na wanaosema eti Tanzania kuna amani na utulivu wakati wanachama wa chama wa CHADEMA takribani 400 na zaidi wako gerezani kwa kesi mbali mbali za kubambikizia za mauaji na...
Huyu Mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, Mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama Mbowe hapa Tz
Mshawahi muona Mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona Mbowe...
Unanishawishi vipi ili niweze kuamini kua Mbowe ni gaidi?
1.Aliwahi kulipua wapi na kwa ushahidi upi?
2.Alishawahi kushtakiwa kwa kuua nani nani?
3.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kesi ya kupiga...
Mheshimiwa Waziri Makamba
Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua...
Ukiijua kweli itakuweka huru. Nduguzangu hii ni ngumu kumeza ila ipo katika politiko sayansi nimeona si vyema kuficha ngoja tuelimishane japo kidogo. Nikisema sayansi ninamaana ni uchunguzi wa...
Baada ya Mama Kuupiga mwingi kwa Mwaka huu kwa kumwaga Maelfu ya ajira kwenye sekta za Huduma hasa Afya na Elimu kupitia utumishi ameendelea kuupiga mwingi kwa kupandisha madaraja na Vyeo Maelfu...
Wadau nawakumbusha tu wakati wa Awamu ya 1
Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere licha ya kuwa ni mgombea pekee hakuwa na mpinzani hakuwahi kutangazwa kuwa kapita bila kupingwa badala yake wananchi...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo siku ya Ijumaa 22/10/2021 amezindua mradi wa Usalama Barabarani katika Kata ya Temeke kwa shule za msingi Ruvuma na Madenge chini ya ufadhili wa...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limelemewa na deni la Sh403 bilioni ilhali mtaji ilionao ni wa Sh243.
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo...
Dunia iko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda (4th Industrial Revolution) ambapo matumizi ya teknolojia ya kisasa yanachukuwa nafasi kubwa kwenye uzalishaji na ubora wakati hasara ya mapinduzi haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.