Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za...
Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGPSimon Sirro kuitafuta saa yake ya mkononi aliyonyang'anywana askari wake wakati wa...
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi...
Tangu kale, tangu enzi za manabii, Kanisa lilisimama katika ukweli, lilifundisha, lilikemea na kuwaonya watawala dhidi ya dhuluma. Mifano ipo mingi.
Muelekeo huo wa Kanisa uliwaongezea imani...
Lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola.
CHADEMA kipindi hichi inapitia wakati mgumu kwa mwenyekiti wake kuwa kizuizini.
Jambo hili ni kubwa na mko wamoja katika kupigania haki ya...
Habarini wana jf.
Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh samia suluhu hassani amekua akisisitiza sana uchumi wa viwanda.Na kwamba,viwanda vitasaidia kuinua uchumi wa nchi na kipato cha mtu...
Habari picha kilele cha wiki ya Wanawake (UWT) kitaifa. Mgeni Rasmi ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.
[emoji1241]Katibu Mkuu wa UVCCM TAIFA Comrade Kenani Kihongosi akisalimiana na Mzee...
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa...
Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua...
Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine.
Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha...
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu
John Mnyika yupo kanda ya Pwani
Kigaila yuko Karatu .
Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima...
Kiongozi wa kudumu wa chama cha ACT Wazalendo na mbunge wa zamani wa Kigoma ameishauri serikali kuacha mara moja kukimbizana na wamachinga na badala yake wanatakiwa kuwa wabunifu zaidi katika...
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi...
You may not like this. But it happened...
Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya...
Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!"
Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini.
Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania?
Adui...
Tulianza awamu ya tano tukapiga makofi wapinzani walipofilisiwa na kufunguliwa kesi tukiamini tunakijenga chama. Tulipomalizana nao tuliamia kwa wana CCM nakuwachapa kuanzia kwenye fikra Hadi...
Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.
Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati...
Bidhaa za viwandan zinazidi kuwa ghali kila uchwao
[emoji117]Mafuta ya kula na petroleums
[emoji117]Sukari
[emoji117]Gesi
[emoji117]Vifaa vya ujenzi n.k
Sasa ni zamu ya SABUNI[emoji29]
Sabani...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe wamejitokeza kwa wingi kuiunga mkono Serikali kwenye hatua ya ujenzi wa vyumba vya madarasa yanayotokana na fedha za mpango wa maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.