Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete Aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 Kwa Kumwaga Mabilioni Halmashauri ya Chalinze
Mgawanyo wa fedha toka IMF Tshs. Trilioni 1.3. Halmashauri ya Chalinze...
Hali ndio kama mnavyoiona, kundi la akina mama limeomba kusajiliwa kidigital huko Shinyanga Mjini.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba kesi ya uongo ya Ugaidi inayayomkabili Mwenyekiti wa...
Dodoma.Tanzania imeweka mkakati wa kuchanja watu 100,000 kila siku katika kukabiliana maambukizi ya Uviko -19.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Profesa Abel...
Habari JF
Wiki kadhaa zilizopita Serikali ilianzisha kampeni ya kuhakikisha maeneo yetu yanarejea katika hali nzuri kwa kuhakikisha kuwa wafanyabiashara maarufu kama wamachinga wanawekewa...
January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake...
Samia akumbushwe kuwa mwaka 1997 aliyekuwa Rais wa Zambia Keneth Kaunda ambaye alihisi Chama chake kitatawala milele na kuwanyanyasa wapinzani wake alikamatwa na kuwekwa gerezani huko Zambia...
Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini
Taarifa hiyo...
Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima.
Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake...
“Mhe. Rais Watuhumiwa wa Ugaidi tunanyimwa Haki. Ukonga, Segerea tupo 187. Tumewekwa jela toka 2013. Mhe. jela miaka 8 ni kuadhibiwa bila ya kuthibitika kosa. Wewe kama mkuu wa nchi tunaomba...
Nisaidieni kumuuliza Rais Samia atuambie zile Solar tony blair aliahidi atagawa kwa shule zote za sekondari za vijijini imeishia wapi?
Aliahidi toka mwaka 2013 hadi leo hatujaona kitu
Pia...
Ikumbukwe kuwa wakati wa utawala wake alijaribu sana kucheza na akili za watu, hasa akitumbukiza neno la Watanzania wanyonge.
Ni yeye huyu huyu alitoa amri kuwa wamachinga watafutiwe maeneo...
BARUA YA WAZI KWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
kwanini umejiandaa kumwaga damu za watanzania wasio na hatia?
Na Mwinjilisti Kamara Kusupa: 0767 311422
Mheshimiwa Rais, naandika barua hii nikiamini...
Ni suala la muda tu.
Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa.
Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa...
CCM ina matatizo mawili ambayo yanaondoa umoja. La kwanza ni defection ya Lowassa.
Tatizo la pili ni pale Kamati ya Usalama ilipowachagua watu watano wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu,na Rais...
Mtuhumiwa mkuu wa kesi ya kughushi risiti na kuisababishia TRA ukosefu mkubwa wa mapato Mohamed Mustafa Yusuffali na wenzake wanne wamependishwa mahakama ya Kisutu na kusomewa mashataka...
Mzee Jakaya!
Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Naomba nikupe taarifa tu kuwa jela kuna Masheikh zaidi ya 150 , na wengi wao waliwekwa ndani kipindi cha...
Katika siku za hivi karibuni umeibuka mgogoro mkubwa wa kijamii hapa nchini uliosababishwa na maamuzi ya kibabe ya Mhe John Magufuli kuhusiana na malori na mabasi, hivi sasa mgogoro huo unapelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.