Ridhiwani Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kumwaga mabilioni Halmashauri ya Chalinze

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,895
940
Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete Aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 Kwa Kumwaga Mabilioni Halmashauri ya Chalinze

Mgawanyo wa fedha toka IMF Tshs. Trilioni 1.3. Halmashauri ya Chalinze tumepewa Tshs. Bilioni 1.6 ambazo zimepelekwa kwenye sekta ya Elimu na X-ray kwa ajili ya huduma za Afya. Pamoja na hilo tumepokea Tshs. Milioni 280 Mgao wa Tozo kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Msata, na Tshs. Milioni 80 kwa ajili ya Bweni la watoto wenye mahitaji maalim Shule ya Msingi Chalinze. Jedwali chini ni Mgawanyo katika sekta ya Elimu.

#FedhaZaMaendeleo
#KaziIendelee
#SSH
#CovidRelief

FCmxS-RWYAMLg_O.jpg
 
Ukiwa sehemu ya wanufaika utashangilia na kupongeza

Ukiwa sehemu ya wanao umizwa basi utamlaumu mhusika

Viongozi waongoze kwa kufuata sheria na katiba

Alisikika mlevi mmoja akiongea toka bar ya kachasa
 
Mbunge wa Chalinze, fedha zilitengwa kwenye bajeti ya serikali kuu 2021/22 umepokea Tsh ngapi? Kwa maelezo yako bila kupata mkopo wa IMF chalinze ingepata wapi fedha?
 
Back
Top Bottom