Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watoto wa kitaa tunasema mchawi mpe mwanao akulelee tuone kama atamroga Nani anamkumbuka Rioba mchambuzi ''uso wa mbuzi". Tasnia ya habari ilililala pale,mzalendo wa kweli na mtetezi wa haki za...
40 Reactions
145 Replies
23K Views
Viongozi wakuu wa nchi, hutoa maagizo kwa njia rasmi. Lakini kuna wakati wanatoa kauli zinazotafsiriwa kama maelekezo rasmi na vyombo vya serikali. Kuna wakati tafsiri hizo huwa zinaakisi kiongozi...
14 Reactions
14 Replies
2K Views
Bwana ayoub Rioba alisifika sana kwa maswali magumu na hoja nzito sana katika masuala ya kitaifa. Lakini kwa jana kwa kweli hakuonekana kabisa. kuna msemo wa kiafrika kwamba wakati wa kula ni...
18 Reactions
74 Replies
7K Views
Kuimarisha na kuhamasisha jamii kupata chanjo dhidi ya UVIKO - 19 pamoja na kuendelea kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo; Sekta ya Afya inaimarisha upatikanaji wa huduma za...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo Tunapokuwa...
44 Reactions
220 Replies
14K Views
CCM ni moja ya chama kikubwa barani Afrika na pia ni moja kati ya vyama vichache vya ukombozi ambavyo vilipigania uhuru na bado vipo madarakani mpaka leo Umahiri huu wa chama cha CCM haujaja hivi...
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Suala la kushusha riba nchi hii linaonekana kufanyika kutokana na maagizo ya wanasiasa (liko kisiasa) na si Benki Kuu kama wataalamu kushauri au kushusha riba kwa mabenki ili nayo yashushe riba...
25 Reactions
75 Replies
7K Views
Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa. Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Siku zote Miradi ya Maendeleo kwa kanuni za kiuchumi mara zote ama mara nyingi hutumia zaidi concessional loans na siyo commercial loans. ROIs kwa miradi hii huwa inachukua muda mrefu ndiyo maana...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Binafsi nampongeza Jaji Siyani kwa kutanguliza uzalendo na utaifa mbele huku akiutumia mwanya wa kisheria uliojitokeza. Kesi ya Mbowe inaweza kumalizwa kwa namna nyingine yoyote bila kuathiri...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Hapa Tanzania vijana wao kutwa nzima nikuongelea Pombe, Mpira na Ngono na hapo wanasiasa uchwara wanapopata njia ya kuitawala hii nchi bila kufata misingi ya haki na utawala bora. Hivyo basi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa jina la JMT, nawasalimu sana! binafsi, nafasi ya waziri mkuu ni moja ya nafasi ninayoiheshimu sana na kuiogopa.......tangu nilipopata akili ya kufuatilia mambo ya siasa, mpaka sasa! nikisikia...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna wakati unajiuliza hivi wapinzani wanajua wanachokitaka? Hupati jibu kabisa. Mzee Lowassa kwenye kampeni 2015 alikuwa anasimama jukwaani anasalimia kisha anarejea kitini pake lakini akapata...
11 Reactions
75 Replies
5K Views
Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa...
92 Reactions
110 Replies
12K Views
Wakuu, Ni kuhusu huyu wanayemwita wakili msomi.. Yaani Peter Kibatala. Kila siku nasikia Kibatala, Kibatala. Tujuzane wakuu. CV yake Kashinda kesi ngapi? Kashindwa kesi ngapi? Tujuzane tumjue...
4 Reactions
119 Replies
58K Views
Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Mama Anne Makinda, Nimeona leo mahali unasema vyombo vya habari vimuache Pius Msekwa kwani kalitumikia taifa kwa muda mrefu na sasa ni mstaafu. Mama Makinda, Pius Msekwa hajastaafu kutumia haki...
185 Reactions
174 Replies
23K Views
"Wenzetu wa CHADEMA wamekuwa wakitoa kauli za kuitaka mahakama kumuachia kiongozi wao, tunapenda kuwaambia kuwa mahakama haingiliwi,waiache ifanye kazi yake ya utoaji wa haki kama kiongozi huyo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania. Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom