Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea. Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Waliokuwa Wagombea ubunge wa Chadema kwenye ule uchaguzi hewa wa 2020 , wamefunguka leo chanzo cha wao kuzuiwa kuingia ndani ya gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, katika siku...
13 Reactions
19 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Baadhi ya makada wa Chadema waliofika kumuona Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe juzi katika gereza Ukonga jijini Dar es Salaam, hawakutimiza lengo lao baada ya askari Magereza waliokuwa...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na mawakili wa utetezi wanaomuwakilisha mshitakiwa wa pili Sylivester Nyegu katika kesi ya unyang'anyi wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kampuni ya Ndege imekuwa ikitengeneza hasara kwa miaka 5 mfululizo na mwaka huu ilitengeneza hasara ya Sh. Bilioni 60.246. Kwa miaka mitano imetengeneza hasara ya Sh. Bilioni 153.542. ====...
7 Reactions
94 Replies
10K Views
HESLB wamejitetea kwamba kiwango cha chini cha mkopo walichotoa kwa mwanafunzi ni Tsh2,099,500. Hi ni taarifa ya jumla jumla na haina msingi.Hiyo ni fedha ya kujikimu na hutolewa sawa kwa wote...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Homela amelitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali sana madereva wa magari ya serikali wanaoendesha magari hovyo. Homela ametolea mfano wa madereva wa TRA na...
1 Reactions
0 Replies
762 Views
Wasalam wanajamvi. Kwa miaka kadhaa sasa kumekuwa na tatizo la ajira Kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali. Wengi wa vijana hao wamekuwa wakijitolea kwenye Idara na Taasisi mbali mbali za Serikali Kwa...
2 Reactions
1 Replies
832 Views
Kiongozi wa Mihimili katika mitatu ya utawala iliyopo, Mheshimiwa Job Ndugai amesikika akihoji: Kwamba kiongozi Mkuu wa bunge linalotunga sheria haujui uhuru huo. Labda hata wale vinara wa...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi. Biashara haziendi wateja amna hatuelewi nn shida? Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma. Njoo Sinza madukani maduka yako wazi kuanzia...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Waziri Dkt .Kijaji Avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru Na. Paschal Dotto-MAELEZO Waziri wa Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mabaya mengi ya awamu ya tano katika nchi hii yameanza kulipuka katika jamii ya watanzania na yataendelea kuonekana. Moja ya mabaya hayo ni kuto kuajiri au kutoa njia mbadala kwa vijana wanaotoka...
1 Reactions
3 Replies
772 Views
Naweka wazi jambo hili ili niwe huru. Niwafuatilie wagombea wengine ili nimpate wa kumpa kura. Nilianzia chamani mwangu kumfuatilia mgombea wetu Dr. Magufuli. Dr. Magufuli umeniangusha na...
16 Reactions
69 Replies
7K Views
Hadi sasa nimeona watu wa aina tatu wakitafuta namna yoyote ili wawe sehemu ya Serikali yako, wanatumia kila mbinu. Kuna wale wabunge ambao 2020 walikatwa, wakiwemo wa viti maalum. Hawa wana...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi binafsi ni mfuasi wa ushirikiano na watu wengine, siamini kabisa kwenye kujitenga. Hivyo hatua yoyote inayochukuliwa kuimarisha mahusiano naunga mkono 100% Ni kweli mahusiano yetu hayakuwa...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Arusha, Tanzania. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameeleza mafanikio yatakayopatikana kutokana na kufunguliwa Kwa vituo vipya vitano vya umahiri kwenye mikoa ya Arusha na Kilimanjaro...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Hawa jamaa ndiyo walijua namna ya kufanya siasa na kuifanya ccm ichanue tena ndani ya mioyo ya watanzania. Walijua waseme nn, wakati gani na kwa faida gani? CCM ilinga'ara na kupendwa sana...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Tangu ukaripie katika katika ya umeme kidogo walikusikia ila sasa wameanza upya kukata, hawatoi notice ina maana hawajiandai jamii kuwa lini na wapi umeme unakatika. Maeneo mengi yanayopokea...
3 Reactions
60 Replies
8K Views
Watanzania wenzangu, Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Machinga wameondolewa nini kitafuata? Kwanza niipongeze serikali kwa zoezi hili zuri. Kwa kweli ilikuwa kero na sijui tungefika wapi na wababe hawa, maana walijaa barabarani kama magari, mitaroni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom