_______________________
Siku chache zilizopita nilizungumzia chimbuko la misaada na Mikopo na kuona kwamba nchi za Ulaya zilipiga hatua kubwa kupitia misaada hiyo na Mikopo ambayo kwa lengo la...
Nashangaa sana, waziri simbachawene anafanya kazi zipi? Au hata majukumu yake baadhi hayajui.
Nitazungumzia swala la ajali za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo.
Nadhani ndani ya...
Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa...
Katika nyakati hizi ni heri hawa wazee wetu waliotumia muda mwingi kwenye siasa wakapumzishwa ili waweze kusimamia afya zao na kulea wajukuu.
Kwa mfano mzee Mrema, Mzee Cheyo, mzee Rungwe, mzee...
Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi...
Athari ya vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu ni pamoja na upotevu wa fedha za umma, wananchi kutokuwa na imani na serikali yao, kukosekana kwa utawala bora, uvurugaji wa bei ya soko kwa...
Baada ya Dereva wa gari ya Mbowe Kustaafu kwa mujibu wa spika gari hiyo ilipokonywa kutokana na kukosekana kwa dereva ambaye aliaminiwa na pande zote mbili. Leo mahakamani inaelezwa gari hiyo...
Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema:
"Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au...
Huyu mtu ukimchunguza, utaona kabisa amefeli katika swala zima la uongozi na amekuwa akiharibu na kuvuruga mambo mengi tu yaliyofanywa na watangulizi wake.
Ni mtu ambae utendaji wake wa kazi kwa...
Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya...
Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa
Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi
Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya...
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji...
Tumewahi kusikia malalamiko kuhusu kada ya majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Malalamiko hayo, kwamba kuna majaji hawana viwango vya kiweledi vinavyotakiwa, yalitolewa bungeni, na mh. Tundu Lissu...
Historia ni mwalimu bora sababu inaweza kukupa majibu ambayo sayansi ingechukua muda kuyapata.
Kila tukio lina Historia hakuna kinachotokea pasipo historia yani kila jambo lina mwanzo wake(chanzo...
Nitasema kweli daima Fitina kwangu mwiko!
Hiyo ni moja ya ahadi za mwanaccm.
Wakati wa Nyerere ilikuwa ni marufuku kwa mtumishi wa umma au mwanaccm kusema uwongo.
Maadili yetu yalikuwa...
Huenda CAG Mstaafu Prof Mussa Assad akafika tena mbele ya kamati ya bunge kuhojiwa kutokana na kesi yake iliyofunguliwa na Zitto Kabwe ya kupinga kuhojiwa kutupwa na mahakama.
Prof Assad ana...
Ukifuatilia kwa makini siasa za Tanzania zimeingia kwenye mtego wa ushabiki badala ya malengo chanya ya Kitaifa.
CCM imekuwa ikitumia makada wake wa uenezi kufanya siasa za kishabiki zisizo na...
Watanzania sote ni mashahidi kwamba CHADEMA hii si ile iliyokuwa enzi za Dk wilbroad Slaa.
Chadema iliyokuwa ikibeba sera na hoja za kuupinga ufisadi uliokuwa ukifamywa na genge la wanamtamdao...
Wanajukwaa,
Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.