Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema...
Sakata la Ben Saanane linaendelea vipi? Amepotea baada ya kupelekewa msg ya vitisho kutoka kwa serikali according to Tundu Lissu.
Amejipoteza nwenyewe kwa sababu slikuwa na special assignment...
Wanabodi, ninajua wengi tunashangaa sana imekuwaje mfanyabiashara na mwanasiasa Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi.
Ukweli ni kwamba, mwaka 2017 baada ya jaribio la...
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameahidi kuangalia uwezekano wa kuzisaidia shule za sekondari za vijijini katika Tanzania, kwa kuziwekea umeme wa nguvu za jua ili nazo zianze...
MSIMAMO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU SUALA LA SAHARA YA MAGHARIBI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha kwa masikitiko yake Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya...
Kuna watu hasa viongozi wachache ambao kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanayoyajua wao wamekua wakitumia mwanya wa ujinga wa wananchi na shida zao kuwaambia maneno ya Kitapeli eti katiba...
Hujulikana kama Ukaguzi wa thamani ya Fedha unaofanyika katika Mifumo, Sera na Mipango mikakati mbalimbali ya Taasisi ili kuona kama kuna thamani ya Fedha na tija katika utekelezaji wake kwa...
Hii ndio Taarifa mpya niliyoipata kutoka kwenye ofisi moja ya Ubalozi Jijini Dar es Salaam, nilipoenda kwa masuala ya kibiashara , Kwamba Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Mtemi Isike ...
Katika muda wa mwaka mmoja, wanajeshi wametwaa mamlaka katika nchi tatu kusini mwa jangwa la Sahara.
Wanajeshi wa kikosi maalumu walipindua serikali ya kiraia ya Mali ambapo Kanali Assim Goita...
Huu ujumbe umwendee Humphrey Polepole, wenye chuki wote na Mama Samia wakiongozwa na kile kikundi kilichotaka kuigeuza Tanzania nchi ya kikabila na kikanda!
Kwanza poleni sana! Naona mnateseka...
Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa.
Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30...
Picha: John Mnyika akizungumza na Vyombo vya Habari
Leo tarehe 21/10/2021 Chama cha Demokrasia na Maendeleo kitazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani kwenye ofisi za chama...
Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo.
Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza...
Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.
Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kwa Afrika tunasoma wale wote waliopingana na serikali au waliokuwa na akili za kutisha nafasi za watawala waliitwa wasaliti, wahaini na viombe hatari kwa nchini. Juzi tumeona mjadala wa Bibi Titi...
Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania?
Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa...
Hakuna nidhamu mbaya katika siasa kama tabia ya kupindua uongozi halali kwa mbinu za " porini"
Ashukuriwe mzee Marando, Dkt. Slaa na timu yao ya intelejensia pale CHADEMA maana Mapinduzi mengi...
Ndugu zangu Watanzania, mpaka sasa karibu kila mtanzania ameshapata funzo kuhusu mwenendo wa Nchi yetu kwa miezi takribani 6 hivi iliyopita.
Kinachosubiriwa sasa ni muda ufike ili kufanya uamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.