Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Cobra70

Senior Member
Jan 2, 2020
167
363
January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.

Antony Mutaka anafaaa sana kuwa waziri mkuu wake mana ana UTU, mchapakazi, mbunifu, katika utendaji wake na speech zake huwa anajikita namna ya kuwakwamua watu wa kipato cha chini, ni mtu anayejitoa sana na pia hutoa maamuzi si kwa kukurupuka bali kwa kujiridhisha. Huyu anawajua watu wa hali ya chini vizuri.

Mawaziri ambao watatakiwa wawateue ili utendaji wa kazi uwe vizuri ni Paul Makonda, Bashe, Kalemani, Nape, prof Mbalawa, Lukuvi, Biteko, Dr. Bashiru, Prof Asssad, Zitto Kabwe, James Mbatia, Jussa, Fatma Karume, Jafo, Aweso, Kyombo, Ummy Mwalimu, Uttoh, Mafuru, Mchechu Prof. Lipumba na prof Kabudi.

Muunganiko mzuri wa watu masikini na matajiri ndio utaleta tija kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Iwapo patakuwa na ubaguzi au kuonewa kwa kundi mojawapo nchi yetu itakuwa bado tupo kwenye safari ndefu ya mafanikio makubwa ya kiuchumi.
 
Ulimfaaga Membe kilichotokea kila mtu anajua.
Mungu aangalii kama wanadamu wanavyoangalia.
 
Mtu asiye na mawazo ya ujamaa 100% na asiye mwizi anatosha.

Inchi inahitaji wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, teknolojia n.k hatuwezi kuwa na haya mambo kwa akili za kijamaa 100%.
 
January MAKAMBA KWA mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.

Antony Mutaka anafaaa sana kuwa waziri mkuu wake mana ana UTU, mchapakazi, mbunifu, katika utendaji wake na speech zake huwa anajikita namna ya kuwakwamua watu wa kipato cha chini, ni mtu anayejitoa sana na pia hutoa maamuzi si kwa kukurupuka bali kwa kujiridhisha. Huyu anawajua watu wa hali ya chini vizuri.

Mawaziri ambao watatakiwa wawateue ili utendaji wa kazi uwe vizuri ni Paul Makonda, Bashe, Kalemani, Nape, prof Mbalawa, Lukuvi, Biteko, Dr. Bashiru, Prof Asssad, Zitto Kabwe, James Mbatia, Jussa, Fatma Karume, Jafo, Aweso, Kyombo, Ummy Mwalimu, Uttoh, Mafuru, Mchechu Prof. Lipumba na prof Kabudi.

Muunganiko mzuri wa watu masikini na matajiri ndio utaleta tija kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Iwapo patakuwa na ubaguzi au kuonewa kwa kundi mojawapo nchi yetu itakuwa bado tupo kwenye safari ndefu ya mafanikio makubwa ya kiuchumi.
Zamu ya CDM
 
Back
Top Bottom