Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika Ndugai ameiagiza kamati ya bunge ya Huduma za Jamii kulifuatilia swala la Uvujaji wa mitihani ya vyuo vya uuguzi. Ndugai amesema tukiwachekea wezi wa Mitihani taifa litaangukia mikononi mwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii nchi imefika wakati inabidi kujiuliza kama wanaoishi ni binadamu wa kawaida au ni wa tofauti , hivi mtu anayetimiza majukumu yake ya halali yanampatia Mshahara na marupurupu na ambayo aliomba...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wanajukwaaa. Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni zile zilizo katika mkakati wa maendeleo ambao utekelezaji utawanufaisha wananchi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeonya yeyote atakayejaribu kufuja au kuzitumia vibaya yakiwemo matumizi binafsa...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Salaam Wakuu Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu...
14 Reactions
43 Replies
5K Views
Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau Zitto Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona...
80 Reactions
203 Replies
14K Views
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika kama Serikali ingeweka busara mbele na kuzuia matumizi ya nguvu kupita kiasi. Jaji...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Inasikitisha sana, sasa wanasiasa wetu wasio thinkers, hawana analytical minds za jinsi ya kuwakwamua masikini katika nchi. Kila mwanasiasa, kama huyu mbunge, amedandia band wagon la machinga...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Ile kampeni ya Chadema ya kusajili wanachama wake kwa njia ya kisasa inayovuma ya Chadema Digital , imeingia Jimbo la Kilolo Mkoani Iringa na kusimamisha kwa muda kilimo cha Vitunguu , baada ya...
3 Reactions
8 Replies
855 Views
Nimekuwa anafuatilia baadhi ya hotuba za Hayati Baba wa Taifa hili Mwl. Julius Nyerere Moja ya hotuba yake ni ile aliyoizungumzia Katiba liliyopo kuwa ni Katiba ambayo ikimpata Rais atakayeitumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Baada ya mradi wa kipekee wa ujenzi wa bagamoyo kupigwa chini na serikali ya awamu ya tano kwa sababu za msingi.Hatimaye serikali kupitia TPA wameamua kuruhusu majadiliano na investers. Mradi huu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo? mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwanza kwa sasa wana Rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid. Ni pesa inayoweza kufanya...
18 Reactions
55 Replies
4K Views
Habari wanaJamiiForums Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua...
19 Reactions
106 Replies
5K Views
Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
11 Reactions
97 Replies
8K Views
Wakuu kuna kijana mmoja machachari sana alikua akiitwa Humphrey Polepole kipindi cha bunge la katiba alikua kasimama akichambua hoja kwa hoja akitoa elimu ya uraia hata kama umeishia darasa la...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Salam nyingi zikufikie msheshimiwa mbunge wa bunge letu tukufu la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Pole na majukumu makubwa ya kutusemea sisi Wananchi. Baada ya hizo salam,tunaomba Sasa kujua...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwandishi wa Habari mkongwe Gordon Kalulunga anadai kusakwa na Jeshi la Polisi kila Kona ya jiji la Mbeya. Kwa maelezo yake Kalulunga anasema tarehe 6 mwezi huu saa sita mchana alipigiwa simu na...
15 Reactions
67 Replies
7K Views
Back
Top Bottom