Ni nini hiki wanachokifanya Vijana wa CHADEMA?

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
 
View attachment 2001683
Wakati unawarekodi kwanini hukuwauliza???
 
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Usihangaike sana, kaweke pembe za ndovu na kete za bangi kwenye ofisi zao, utawamaliza kabisaa.
 
Hoja hii ni ya kipumbavu iliyoletwa na middle class katili,hii ni freedom of expression na hakuna lolote hapo na jambo hili limetokea mahakamani!tatizo la kuwa na vilaza in uniforms na mtoa hoja hii kabla ya kushauri kuwa yeyote anayeona amedhalilishwa kwenda mahakamani (utawala bora)anashauri polisi wajichukulie sheria mkononi!
 
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Kwani nì uongo?

Pole kwa maumivu mbona bado mtaumia sana mpaka mteme nyongo.
 
Hoja hii ni ya kipumbavu iliyoletwa na middle class katili,hii ni freedom of expression na hakuna lolote hapo na jambo hili limetokea mahakamani!tatizo la kuwa na vilaza in uniforms na mtoa hoja hii kabla ya kushauri kuwa yeyote anayeona amedhalilishwa kwenda mahakamani (utawala bora)anashauri polisi wajichukulie sheria mkononi!
🚮🚮
 
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Na wewe Div 4 ya point 32 ndiyo maana unashabikia upuuzi
 
Haka kajamaa bana kanatunia uhuru vibaya, hapo kakibanwa kathibitishe ushahidi ni wa uongo kwa namna ipi utasikia wenzie kamanda wetu ameonewa.

Mistake hufanyika kila pahali, Au Leo mistake ya kumkashifu lowasa kisha akawa mgombea kwa chama kilichomkosoa imesahaulika? Ule si ulikuwa uhuni wa kiwango cha airbus kabisa?
 
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Hakuna utoto wowote hapo,Chadema kinafikisha ujumbe,tena ni mbinu nzuri.
 
Haya majitu yamekuwa vipofu Jambo linamuhusu mtu mwingine lakini wao ni Polisi tu ingawa wameondoka kwenye hoja za msingi na kujenga chuki dhidi ya makundi kinyume na azma ya chama Chao.
 
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?

mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa

mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo

kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Mapambano yana njia nyingi ...
Nakushauri kasem historia ya SA
 
Haya majitu yamekuwa vipofu Jambo linamuhusu mtu mwingine lakini wao ni Polisi tu ingawa wameondoka kwenye hoja za msingi na kujenga chuki dhidi ya makundi kinyume na azma ya chama Chao.

Hata kama umepanick ndio usiweke koma ama nukta kwenye post yako? Wanaojenga chuki kwenye jamii ni majizi ya kura, watekaji, wabambikizia kesi nk. Wananchi tuna uelewa wa kutosha, tunajua tatizo la nchi hii ni ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti, wakati sio chama cha kizazi hiki.
 
kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
Hata musiba wakati wake wa kutamba alisema hayo hayo kama angekuwa polisi angevunjawatu miguu. Leo hii yeye ndiye kavunjwa mpaka kiuno
 
Back
Top Bottom