Shaka: Ole wake atakayefuja hata senti moja katika shilingi tirioni 1.3

UGANDA

Member
Jul 24, 2017
71
75
Ni zile zilizo katika mkakati wa maendeleo ambao utekelezaji utawanufaisha wananchi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeonya yeyote atakayejaribu kufuja au kuzitumia vibaya yakiwemo matumizi binafsa sh. 1.3 zilizotokwna na mkopo wa masharti nafuu, itakula nae sahani moja.

Imesema fedha hizo ni mkopo ambao watanzania wataulipa, hivyo ni lazima zitekeleze miradi iliyokusudiaa ili kuwanufaisha wananchi na kurahisisha upatikanaji wa huduma muhimu.

Hayo yalielezwa jana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka alipozungumza na waandishi wa habari kuipongeza serikali chini ya Rais Samia kuendelea kuaminiwa na jumuia ya Kimataifa na kupatiwa mkopo huo wa masharti nafuu.

"Ikumbukwe Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichoshika hatamu zauongozi wa nchi. Hivyo kinawahakikishia Watanzaia kuwa kitahakikisha fedha hizi hazitafunwi na mchwa na atakayethibitika kuhusika na ukwapuzi wa aina yoyote, Chama Cha Mapinduzi hakitasita kuilekeza serikali yake kumfikisha muhusika mbele ya vyombo vya sheria.

"Na kwenye hili tunazielekeza wizara zote
zitakazonufaika na fedha hizi kujipanga vizuri katika usimamizi kama alivyoelekeza Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia suluhu Hassan, kwa sababu fedha hizi ni mkopo toka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), siyo fedha za sadaka, hivyo ziheshimiwe," alisema.

Alisema Chama kinawasisistiza viongozi na watendaji wenye dhamana kuanzia serikali kuu hadi katika halmashauri za wilaya, wahakikishe fedha hizo zinakwenda kutekeleza miradi iliyokusudiwa, ili kuleta matokeo yaliyolengwa kwa ustawi wa
wananchi.

"Fedha hizi na zingine zote zinazotolewa na serikali kwenda kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo, CCM haitakubali kuona fedha za umma zikitumiwa visivyo na kukibebesha lawama Chama ambacho ndicho kilichopewa dhamana na wananchi ya kuunda na kuongoza serikali.

"Tunatoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake, kwa kuendeleza na kudumisha umoja, amani na mshikamano uliopo nchini, ili kumpa nafasi na fursa nzuri ya kuijenga nchi yetu. Ndiyo maana mara kadhaa amesikika akitoa wito wa mshikamano na akitoa rai kuwa huu ni muda wa kuijenga Tanzania sio muda wa kuibomoa au kulumbana kwa masuala yasiyo na tija kwa maendeleo ya Watanzania. Kwa pamoja tuipeleke Tanzania katika mwelekeo sahihi wa maendeleo," alisema.

Oktoba 10, mwaka huu, Rais Samia alizindua kampeni kubwa ya Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 ambayo inagharimu takribani sh. trilioni 1.3 za msaada na mkopo wa masharti nafuu kutoka IMF.
IMG-20211012-WA0079.jpg
 
View attachment 1972387
Muulizeni kwanini walikopa kwa sababu za kiujanjaujanja bila ridhaa ya walipa kodi wenyewe?

CCM ndio wataofuja hizo pesa kwa kuanzisha miradi hewa na ambayo haina ubora wa thamani halisi na hakuna atakayeza kubaini mapungufu zaidi ya kupongeza.
 
Nilikuwaga namkubali yule katibu uenezi wa CCM aliyehamia CAF alikuwa anavaa Machen I makubwa shingo I halafu alikuwa mnene sana alifariki nimesahau jina lake
 
Mhe Shaka ni mtu na nusu, Niliona alivyowashughulikia TFS na POLIS KAHAMA,

huyu jamaa ni kiongozi mwenye uchungu sana na Taifa
 
Muulizeni kwanini walikopa kwa sababu za kiujanjaujanja bila ridhaa ya walipa kodi wenyewe?

CCM ndio wataofuja hizo pesa kwa kuanzisha miradi hewa na ambayo haina ubora wa thamani halisi na hakuna atakayeza kubaini mapungufu zaidi ya kupongeza.
Utapewaje ridhaa embu tuambie
 
Haka kanaongea Tu Wizara ya Afya washaanza kufuja Pesa !!!!!!! Pili Mbowe anatoka siyo Gaidi!!!!

Tatu tunataka KATIBA Mpya ambayo si ya Matakwa ya wanasiasa bali watanzania

Britanicca
Pesa za korona zinagawiwa wizara mbaimbali unataka kutambua wizara ya afya kuna Ofisi tusaidie ushahidi
 
Watuambie kwanza kuhusu tozo na Kodi za miamala na mafuta mbona matumizi yake ni sawa na haya ya huu mkopo wa IMF
 
Back
Top Bottom