Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UKIRI WA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUHUSU MAALIM SEIF, UTUFUMBUE MACHO KUHUSU YANAYOENDELEA KWA FREEMAN MBOWE NA WAPINZANI WENGINE! Tulikuwa Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Maalim Seif...
10 Reactions
10 Replies
2K Views
Nawasifu sana Jamiiforums! Keep it up and keep improving, one day you will the giant platform.
1 Reactions
1 Replies
492 Views
Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7. Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote...
14 Reactions
181 Replies
22K Views
Kumbe huyu RPC ambaye alimtolea maneno mabaya Mbowe kuwa "this time huchomoki tutakupiga na kesi ya ugaidi(kwa maneno ya John Mrema) "vile vile aliwahi kumwambia Lema akiwa RCO Arusha kuwa...
23 Reactions
66 Replies
9K Views
  • Closed
Leo kesi hiyo inaendelea tena mahakamani hapo ambapo Jamhuri itaendelea kuleta mashahidi wake , kumbuka kwamba mpaka leo Mbowe ametimiza siku 111 gerezani . Jaribio la Kishamba lililopangwa na...
18 Reactions
58 Replies
6K Views
Mtu huyu ambaye aliongoza kikosi cha ushawishi ( ununuzi ) wa wabunge wa Upinzani , kwa kuwashawishi wajiunge na CCM ili majimbo yao yapate Maendeleo ya upendeleo kutokana na msimamo wa Rais wa...
16 Reactions
147 Replies
10K Views
Serikali imekuja na sheria ambayo itampa msamaha mtu yeyote anayemiliki silaha kinyume na sheria ikiwa ataisalimisha silaha hiyo kuanzia Novemba 1 mpaka 30 Novemba 2021. AMNESTY FOR ILLEGAL...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mifumo ya TEHAMA Serikalini inalenga kuongeza udhibiti wa makusanyo ya Fedha za Umma, ufanisi wa utoaji huduma za Kijamii, kuongeza Mapato na kuleta tija katika Matumizi ya Fedha ya Umma Ukaguzi...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Katika hali ya wakulima kulalamika juu ya bei ndogo ya kuuzia korosho, mkulima awekwe wazi kuwa kiasi kungine amelipia viatilifu, hili hesabu yake ikae sawa. Mtindo wa kugawa viatilifu bure...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi? Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Takwimu huwa hazidanganyi. CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wanabodi! Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu...
22 Reactions
151 Replies
12K Views
"Safari nilizokuwa nafanya Nchi Jirani zilikuwa na lengo la kuondosha vikwazo, tumeondosha vikwazo na Kenya na biashara imekuwa mara sita zaidi ya ilivyokuwa, kwahiyo tukizunguka msiseme Mama...
20 Reactions
168 Replies
11K Views
Hakika kila anayedhulumu, kamwe hatayamaliza maisha yake ya hapa Duniani kwa amani, na wala pepo hatairithi, bila ya toba iliyo kuu. Laana hata siku moja haikupi amani. Wote waliodhulumu mali...
12 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu. Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie...
27 Reactions
61 Replies
6K Views
Imekuwa utamaduni kuandaa mabango na vipeperushi zinapotokea ziara za viongozi wa kitaifa kukagua miradi au kuzindua miradi hata mikutano ya hadhara. Mhusika atakuja na kila siku huonekana kwenye...
1 Reactions
1 Replies
655 Views
Huwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama...
3 Reactions
17 Replies
829 Views
Kuna waziri juzi aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5000. Kwa bahati mzuri sana alishangiliwa sana na makada na wafuasi wa chama chake. Lkn ukweli wenyewe ilibidi...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili...
41 Reactions
93 Replies
8K Views
Back
Top Bottom