Mheshimiwa Haphrey Polepole tunaomba kujua msimamo wako kuhusu katiba mpya kwa Sasa hivi.

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
846
1,000
Salam nyingi zikufikie msheshimiwa mbunge wa bunge letu tukufu la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Pole na majukumu makubwa ya kutusemea sisi Wananchi.
Baada ya hizo salam,tunaomba Sasa kujua msimamo wako kuhusu katiba mpya.

Mheshimiwa kwa kuweka vizuri kumbukumbu mchakato wa kuandika katiba mpya ndiyo ulikuibua wewe na hatiamye kufahamika kwa Watanzania na kipindi hicho ukisimama kidete kuitetea Rasimu ya Jaji warioba kuhusu swala la muungano na ilitetea Sana kuhusu serikali tatu .
Kwenye hili swala la katiba mpya tunakushukulu ulisimama vizuri na kwa weledi mkubwa.

Lakini awamu ya sita mambo yalibadilika baada ya kuteuliwa na hayati Magufuli akiwa mwenyeki wa CCM kuwa Mwenezi wa chama,hatuwezi kukuhukumu kwa huo uteuzi Manake isingewezekana kukataa .Ukiwa CCM tulitalajia lazima tu ungeukana huo msimamo wako wa katiba mpya kwa Sababu huwezi pingana na mwenyekiti wako.

Chini ya uongozi wako kama mtu mwenye nguvu ndani ya CCM tulishuhudia mambo ya democracy yakinajisiwa waziwazi huku wewe ukisema hadharani kwamba huu sio muda wa siasa ni muda wa kufanya kazi .Matokeo yake tumeona chaguzi Zote mbili yani serikali za mitaa na ule mkuu wa mwaka Jana zikihalibika na kupelekea CCM kuongoza peke yake nchi nzima,kwa ufupi tupo chini ya utawala wa chama kimoja kwa mala ya kwanza tokea mwaka 1995.
Sasa yaliyopita Si ndwele tunatakiwa kuganga yajayo,Najua wewe ni mzalendo wa nchi hii na kama tukienda hivi kama Taifa hatutafika manake huko Mbeleni kutakuja kutokea vulugu kwenye chaguzi hivo basi Sulihisho tunatakiwa kuwa na time huru ya uchaguzi pia katiba mpya .Mtu yeyote anaeipenda Nchi hii hawezi kipinga kuhusu swala la katiba mpya .
Hitimisho.

Je ni upi msimamo wako kuhusu katiba mpya?Tunakuomba utupe majibu.
 
Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
25,667
2,000

Katiba bora na mpya ndio kipimo cha Uzalendo. Njenya hapo utakuwa ni Wale wale tu

Sada Polepole atwambie.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom