Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau Zitto Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi cha njaa au cha neema.
Zitto anachodhania yeye ni kwamba maisha yasiasa nikukosoa nakusahau kwamba endapo utakosoa bila hoja au bila msimamo unaoonekana hakuna atakayeangaika na wewe. Akina Polepole wamejaribu kukosoa na Wana hoja ila wananchi wamewapuuza kwa sababu wanajua wanatafuta riziki ya matumbo yao na familia zao.
Gwajima alijitutumua akapuuzwa kwa sababu alielekeza hoja zake kwa manufaa yake na taasisi yake. Membe kaibuka juzi watu wamempuuza kwa sababu alipaswa kusema JPM akiwepo ila kusubiri hayupo nikujitaftia umaarufu usio na tija. Akina Mdee hakuna anayewasikiliza maana watu wameona wazi wamethamini familia zao kuliko Taifa.
Hivyo Zitto hata ukae kimya na usifie kila kitu poa tu, wamekujua wewe unatafuta Nini kwenye siasa. Watakaodumu ni wale watakaobaki na misimamo ya asili.