Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili...
41 Reactions
93 Replies
8K Views
Mimi naamini Rais Magufuli anaamini katika mambo ya ushirikina. Imani yangu hiyo inatokana na kauli zake mbalimbali ambazo keshazitoa tokea ashinde nafasi ya urais mwaka 2015. Wakati akitoa...
47 Reactions
184 Replies
22K Views
Asalaam Ndugu zangu watanzania na wazalendo wa taifa letu pendwa Tanzania. Nimekaa kimya juu ya mambo yanayoendelea juu ya wamachinga na mpango wa SERIKALI yetu ya kuwapangia maeneo maalum ya...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu? Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini...
29 Reactions
69 Replies
5K Views
Waziri mkuu msitaafu Fredrick Sumaye amewataja maadui wanaoiua Chadema kwa sasa nchini. Sumaye amesema ubinafsi wa wanachama wa Chadema wanaofikiri kwa kutumia matumbo yao badala ya ubongo ndiyo...
6 Reactions
34 Replies
8K Views
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani? Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa...
20 Reactions
176 Replies
18K Views
Nipo jijini mwanza kiukweli mji unapendeza. Nimepita maeneo karibia yote makoroboi, nyasaka, nyamhongolo, buhongwa. Dah! Siamini machinga wote wamehama tena wenyewe kwa mikono Yao, wamebomoa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
CHALINZE Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekagua na kuridhika kuruhusu maji yaanze kutumiwa na wananchi katika maeneo ya Chalinze ambapo miundombinu imekamilika. Hizi ni habari njema kwa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwenu, Nimeangalia mazishi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kisha kada na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma. Sanduku la mwili wa Mh. Kabourou lilikuwa limebebwa na asksri wa JWTZ. Alikuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ZIJUE FAIDA ZA TANZANIA KUSHIRIKI COP 26 Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
Hapo vip!! Panapostahili kupokwezwa tupokeze ila nitaendelea kukosoa panapobidi tena bila kuchoka. Baada ya kuandika kuhusiana na suala la mkoa wa Arusha kugeuka kuwa kichaka kutokana na...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mama asithamini sana Wageni akatusahau wazawa. Awe mzalendo na sio kila kitu anawaza kumfurahisha Mzungu tu Nilisema zamani kuwa kwasasa tunaongozwa na mwana NGOs. Kila mara utasikia tuandae...
20 Reactions
233 Replies
59K Views
Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda...
9 Reactions
56 Replies
4K Views
Ukweli siku zote hubaki kuwa ukweli hata kama utafichwa kwa mtutu wa bunduki. Vitu vimepanda Bei sana, sio kwenye vifaa vya ujenzi tu bali hadi kwenye vitu vya matumizi ya majumbani. Huku...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Kila kona ya Tanzania na dunia ina habari na kinachofanywa na Rais JPM, usitumie nguvu nyingi kuwafahamisha watanzania juu ya uzuri na kazi za Rais wetu. Mwenye macho haambiwi tazama lakini wewe...
2 Reactions
339 Replies
30K Views
Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege, Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka...
19 Reactions
113 Replies
19K Views
Huyu ni miongoni mwa Maaskofu wasio na unafiki wowote , hajawahi kuogopa kusema ukweli , hayumo miongoni mwa wanafiki na ni mwenye karama hasa ya Mungu , Waliojaribu kumgusa wote wamepukutika...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Watu wa itifaki ikulu naomba muwe mnaondoa aibu ndogondogo kama hii, inakuaje mpambe wa Rais Samia abebeshwe mzigo huu wa begi kubwa wakati Rais alipowasili airport ya Dar akitokea Scotland! Hapo...
19 Reactions
110 Replies
10K Views
Nimemsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe.Hotuba yake ya leo (pamoja na nyingine alizowahi kutoa kabla) inaonesha dhahiri kuwa huyu kiongozi ana hekima...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom