Serikali iingilie kati hiko Chuo cha Uongozi cha Polepole, kilisajiliwa lini na kina maudhui gani kwa Taifa?

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania.

Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo hicho baada tu ya upepo kubadirika tayari anazunguka nchi nzima akifanya makongamano yake huku serikali ikikaa kimya, hii haina maana kwetu kwani alikuwa wapi kufanya hivyo akiwa katika piki na leo katolewa ndiyo aanze kugawa watanzania.

Naiomba serikali ilichukulie kwa uzito wake swala hili kwani inaonekana kama katumwa na mtu au serikali yenyewe, kituambacho hatuelewi.

Na itakuwaje kama wengine wakianzisha hivyo vyuo na vyenye itikadi tofauti tofauti si tutakuwa tunaongeza balaa, nashauri Serikali iingilie kati na wamlete Polepole kwangu hata bila sadaka hili nimkanseli kisaikolojia kwa jina la Yesu atapona na kurudi katika hari yake.
 
Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo hicho baada tu ya upepo kubadirika tayari anazunguka nchi nzima akifanya makongamano yake huku serikali ikikaa kimya, hii haina maana kwetu kwani alikuwa wapi kufanya hivyo akiwa katika piki na leo katolewa ndiyo aanze kugawa watanzania.
Kiseme alichokosea ili tumhukumu sawia na maneno yake au tujibu hoja zake badala ya kulalamika ndani ya blanket
 
Tueleze alichokosea basi, je hajafuata taratibu, hana leseni, hakiko credited, wakufunzi bom, maudhui yake siyo ya chuo, au nini hasa???!!!
 
Tatizo una hasira umeshindwa kutushawishi kwa nini afutiwe, acha roho mbaya, hii ni dunia ya utandawazi, Trump kafungiwa twetter lakini kasajili mtandao wake. Polepole anawanyima usingizi kwa kipaji chake alichojaliwa na Mungu na kutunzwa na wazazi wake.

Sisi ni wanafunzi wake kila jumamosi tumo na ametufundisha mengi kwa ada ya shilling 0.00
 
Polepole hajawahi kukaa bila kuwa bize na masuala nyeti ya nchi ndio maana kabla hajawa muenezi alishughulika na katiba mpya, alipokuwa muenezi alizunguka kuanzia tarafa, kata, kijiji, wilaya hadi mkoa kwa mkoa kuhimiza kazi na maendeleo huku akipigia simu viongozi kila jumamosi kutatua kero moja kwa moja kwa wananchi.

Kwa sasa anafanya shule ya uongozi, hajatukana, hajavunja sheria wala hajaiba.

Pia nikukumbushe tu, Samia alishasema serikali yake imefungulia uhuru wa kuongea..sasa we unaifundisha serikali yake kuziba mdomo watu.
 
Wenye akili ozo na za kindezi watapata taabu sana ujima ulishapita. Polepole anatoea elimu ya darasani bure katika mazingira huria na bure huku akijua miiko na mipaka, the elites on Legal field, political science and public administration wanajua namna wanazuoni walivokuwa waitwanga serikali peupe darasani, seminar mikutano na haikuwa nongwa.

Sasa mazuzu ya kitumwa na kishabiki mnaona mnakipunda kindezi kiishi kwa akili zenu elekezi hamtafanikiwa ana akili na ana elimu ya uongozi hata sikiliza upuuzi wenu ni mtu makini na ataongoza kwa akili zake makini.
 
Kunakitu nilitaka kujifunza na tayari nimeelewa hakuna rafiki wa kudumu katika siasa hapa watu waufipa washa tani wakihisi labda Pole atakuja Ufipa tupo pamoja naangalia kazi ya siasa raini
 
Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania...
Kwani kuna kende zako nimeshikwa mpaka uanze kuhangaika na polepole?

Au.kwa kipindi chake hicho unatozwa tozo sasa umeumizwa nazo?

Endelea na kazi zako za kutafuta maisha ya Polepole muachie polepole kama hayakuhusu.
 
Mwenyewe ikifika j.mosi huyooo nashika ka diary kangu na kalam na tu-popcon twangu mezani,kumeza shule ya Uongozi.

Eti kuwagawa Watanzania, ewe mbuzi usiye na mkia nani kakuroga? Unajua kuwagawa Watanzania wewe mpumbavu usiye na kende?

Usirudie ujinga wako naona unaumwa kinenani!
 
Hivi kuna watu wana akili timamu wanamsikiliza huyu mchumia tumbo?
 
Kwaiyo kusikiliza darasa tu la uongozi umeamia hivi hakiamia upande wa pili je?
 
Back
Top Bottom