figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Salaam Wakuu
Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Mgombea Mwenza wa Lissu wakati wa mkutano wa Kimataifa unaohusu Uchaguzi Afrika unaoendelea Gaborone, Botswana.
MY TAKE:
Je, Lissu atapita Segerea Kumtembelea Mwenyekiti wake Mbowe na kumpa nondo za Kisheria au ndo anamuacha ateketee huku anamuona?