KATIBU MKUU UVCCM: ASANTE NA SHUKRANI KWA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI.
Na
Kenan L. Kihongosi
KATIBU MKUU UVCCM
Kwanza namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa uzima na Afya njema.
Pili nakishukuru Chama...
Huku akitamani kukagua gwaride la 9 December Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameingiwa na wasiwasi wa ni namna gani wazungu waliompa pesa za Covid watamchukulia endapo ataandaa kusanyiko...
Leo asubuhi nilipokuwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa katika kituo maarufu cha televisheni cha Star TV ya jijini Mwanza kwenye mada iliyokuwa inahusu uwajibikaji. Nilizungumza...
Dk. Harrison G. Mwakyembe (Mb), NW-UJ
Dar es Salaam
18/02/2012
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Nimelazimika leo Jumamosi, tarehe 18 Februari, 2012 kutoa taarifa hii kwa vyombo vya habari...
Leo kumejitokeza utata mwingine tena mahakamani kwa shahidi No. 8 wa Jamhuri Askari Polisi aitwaye Jumanne.
Kwamba, alipowakamata watuhumiwa na kuwapekua aka - seize [akachukua] mali za...
Tanzania races to develop natural gas reserves [Business Africa]
Tanzania is accelerating efforts to join the prestigious Liquefied Natural Gas (LNG) exporters club. After negotiations with oil...
Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu.
Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa.
Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka...
Taarifa kwa Umma
Katibu Mkuu John Mnyika ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu rasmi kuwa Chadema hakitashiriki uchaguzi wa marudio wa ubunge kwenye Jimbo la Ngorongoro na...
Kwa muda mrefu,pamekuwa na jitihada na mashinikizo kutoka kwa vyama vya siasa,asasi za kiraia na wananchi wenye mapenzi mema na taifa lao la Tanzania.Harakati zote hii zimechochewa na jinsi katiba...
Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals
Twin towers forming part of the complex that is the headquarters of the Bank of Tanzania in the...
Pole na hongera kwa kutimiza majukumu ya nchi.
Mheshimiwa rais kilio chetu wakulima ni kile kile.
Pembejeo zipo juu sana mama hasa mbolea na inazidi kupanda kila kukicha mpaka kufikia sasa...
Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti...
Muda ni wakati na muda hupita kila kitu na wakati wake. Huyu Askofu Mtega alijitwalia maamuzi yote mwenyewe huko Jimboni Songea, Alijigeuza mhasibu, wakili na msemaji wa mwisho, Aliendesha Jimbo...
Maendeleo ni ya watu, na si vitu. Maana hiyo ni mpaka hapo asilimia 80+ ya Watanzania watakapomudu kula milo mitatu ya wastani, kuwa na makazi yanayofaa binadamu kuishi, kuwa na huduma za elimu...
Wanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya...
📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA
"CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi...
Spika Ndugai ameiagiza kamati ya bunge ya Huduma za Jamii kulifuatilia swala la Uvujaji wa mitihani ya vyuo vya uuguzi.
Ndugai amesema tukiwachekea wezi wa Mitihani taifa litaangukia mikononi mwa...
Hii nchi imefika wakati inabidi kujiuliza kama wanaoishi ni binadamu wa kawaida au ni wa tofauti , hivi mtu anayetimiza majukumu yake ya halali yanampatia Mshahara na marupurupu na ambayo aliomba...
Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
Habari wanajukwaaa.
Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.