Humphrey Polepole wa Katiba Mpya alizamaga na meli gani mbona hakuna taarifa?

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,854
Wakuu kuna kijana mmoja machachari sana alikua akiitwa Humphrey Polepole kipindi cha bunge la katiba alikua kasimama akichambua hoja kwa hoja akitoa elimu ya uraia hata kama umeishia darasa la pili D ulikuWa unamuelewa.

Lakini sijui kikatoke nini sijui wachina walimbadilishia wapi au alizama na ile meli ya mv spaice lakini mbona vyombo vya habari havikuripoti kua nae alikuepo hata Tbsii skuona tukaletewa Polepole mwingine kabisa akawa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM jamani hii ni dhambi, Polepole huyu na yule wa katiba mpya wakawa tofauti kabisa.

Inasemekana akaingia kwenye biashara ya kununua wabunge wa upinzani asubuhi unakua chadema jion unakua mbunge wa CCM na unapewa unaibu waziri wakati huu Polepole yupo jikoni anajua kila kitu hapa ndo najiuliza nini kilitokea hapa katika mtu alikua anahubiri kuhusu mamlaka ya wananchi dhidi ya serikali yao leo hi anashiriki kuhujumu mamlaka ya wananchi

Sasa bhana kuna pole pole mwingine mpya new brand anafundisha tena kule YouTube kuhusu uongozi apa ndo naona kiza kabisa najiuliza hivi hii nchi ina nini ana maana cc ni mazuzu wa kill ngapi au tuna ujinga wa tani ngapi mbona Hawa watu wanacheza na akili zetu
 
Polepole wa katiba moya_Machachari,mjenga hoja mwerevu,mwenye moyo wa kujenga jamii huru iyothamini mawazo ya kila itikadi ya sasa.
Polepole wa Magufuli:Mjivuni,mzee wa maviieite,mununua wapinzani shabiki namba moja wa udikiteta na mpenda misafara mirefu ya nagari kwenye ziara zake.
Polepole wa Darasa LA uongozi:Lialia,kama mtoto aliyenganywa andazi!
HII NI VILE MTU ANAWEZA KUISHI KATIKA NAFSI TATU.!
 
alivyoingia CCM akili aliziacha reception ya pale Lumumba, juzi katoka kazipitia ndiyo sasa unaona kaanzisha eti ka Ngo ka kuipinga madongo serikali - hata yeye dawa ipo jikoni inachemka, aliyowafanyia wenzake na yeye yatamrudia tu huyu mtu ambaye hajulikani ni mzee ama kijana.
 
Wakuu kuna kijana mmoja machachari sana alikua akiitwa Humphrey Polepole kipindi cha bunge la katiba alikua kasimama akichambua hoja kwa hoja akitoa elimu ya uraia hata kama umeishia darasa la pili D ulikuWa unamuelewa.

Lakini sijui kikatoke nini sijui wachina walimbadilishia wapi au alizama na ile meli ya mv spaice lakini mbona vyombo vya habari havikuripoti kua nae alikuepo hata Tbsii skuona tukaletewa Polepole mwingine kabisa akawa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM jamani hii ni dhambi, Polepole huyu na yule wa katiba mpya wakawa tofauti kabisa.

Inasemekana akaingia kwenye biashara ya kununua wabunge wa upinzani asubuhi unakua chadema jion unakua mbunge wa CCM na unapewa unaibu waziri wakati huu Polepole yupo jikoni anajua kila kitu hapa ndo najiuliza nini kilitokea hapa katika mtu alikua anahubiri kuhusu mamlaka ya wananchi dhidi ya serikali yao leo hi anashiriki kuhujumu mamlaka ya wananchi

Sasa bhana kuna pole pole mwingine mpya new brand anafundisha tena kule YouTube kuhusu uongozi apa ndo naona kiza kabisa najiuliza hivi hii nchi ina nini ana maana cc ni mazuzu wa kill ngapi au tuna ujinga wa tani ngapi mbona Hawa watu wanacheza na akili zetu
Wachina marafiki wa chama walimchukua walienda wakafungua kichwa chake wakamwaga oil, aliporudi siyo yule tena.
 
Back
Top Bottom