Kama kuna jambo la kusikitisha awamu ya mama ni hili la kuwapa watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama nafasi za uongozi kwenye awamu yake.
Watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama...
Kesi ya Ugaidi inaypendelea Mahakama ya Uhujumu uchumi imeonysha namna Serikali ya chama cha Mapinduzi ilivyokuwa inaendeshwa na inavyoendeshwa. Yapo mambo ambayo Wala Jaji apaswi kusubiriwa...
KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha...
Mji tafakari na msimame kwenye uhalisia
Mkitaka watu tuwaunge mkono onyesheni kuguswa na hali anayoipitia mwananchi wa kawaida sio siku za kukosa kwenu kura ndio mjitokeze na kusema wananchi...
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli...
Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho...
Kwa kweli nimetiwa moyo na weledi, haraka, na utendaji ulioweza kufuatiĺia Hati ya kusafiria ya mdogo wangu Mange aka Damdogo. Licha ya kuchelewa kurenew lakini mambo ya ndani wameweza...
Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi...
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti...
Wanabodi,
Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni...
Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja.
Hii itasaidia
1. Watumishi kuto ambukizana
2...
Wanajukwa habari zenu! Naomba niende moja Kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Kwa mujibu wa mambo yanavyo kwenda,hususani kwenye kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa upinzani...
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho...
Wanabodi,
Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni
vijana wahitimu...
My take;
Hili ni kweli kabisa. Kuwa kwa kesi hii na ukubwa wake IGP Sirro, DPP, DCI na hata mkurugenzi wa TISS wote wanajua kuwa polisi wanaokwenda kutoa ushahidi wanapangwa ili watoe ushahidi wa...
Hakuna namna hapo kubalini tu hasara ili kumrahisishia mwananchi na kumpa unafuu
Mkae mjadili muondoe hizo tozo na kodi mkiziacha hali ya maisha kwa mwananchi wa hali ya chini ni mzigo kwake...
Wanabodi, Wabunge wa CCM walimtukana Zitto Kabwe wakati wa hayati JPM kuhusu hoja ya Zitto kuwa watoto Tanzania waliopata mimba hawapewi nafasi ya kusoma shule za kawaida
Wabunge wa CCM Wengine...
Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini.
Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu.
Kujipendekeza ili upate uongozi...