Tulishasena kwamba hakuna kijiji kitakachobaki , lakini kuna watu walidhani tunatania .
Sasa hali halisi iliyojiri huko Msalala ni hii hapa kama mnavyoiona , wananchi kwa maelfu wameamua...
Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo...
Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania .
Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya...
Habari wana jf poleni kwa ukosefu wa maji, umeme pamoja na jua kaliii
Moja kwa moja niende kwenye mada husika hapo
Pamoja na vyote ambavyo nchi yetu inapitia kwa sasa tatizo naona sio ukosefu wa...
Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.
Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000...
Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika.
Umeme umekuwa ni...
Polepole amewataka wapinzani waache kupiga kelele kuhusu kubanwa kwa vyama vya siasa.
Amewaambia kwani hata Mungu alimfukuza shetani mbinguni kwani alikuwa hataki upinzani.
Kazi kwenu
Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .
Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za...
Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi?
Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita...
Angalieni video hapo chini?
Kwanini Mbowe hafungwi pingu?
Kulingana na maelezo ya Polisi, Mbowe ndio kinara, sponsor, na mastermind, wa tuhuma zilizoko mahakamani.
Polisi wanasema Mbowe ndiye...
Wawili hawa ni majaji ambao wote wameshughulika na kesi inayomhusu Mh. Mbowe na wenzake.
Wote ni wateuliwa mahiri wa hayati Magufuli. Wote kwa maamuzi yao wameuacha ulimwengu wa haki ukiwa...
Inasikitisha sana!
Tuna viongozi wa ajabu sana Nchi hii ! CCM iko wapi?
Aliyelieleza Taifa kuhusu " madudu" ya mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo alikuwa ni Rais wa JMT, Amiri Jeshi Mkuu...
Uzalendo hauhubiriwi bali unajengeka wenyewe kwenye mioyo ya watu. How?
Elimu yetu.
1. Shule za msingi: darasa la kwanza, pili na tatu wanafunzi wajifunze TU kusoma, kuhesabu, kuandika na kuimba...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bw. Kangi Lugola amesema Bungeni siku ya Jumanne Mei 22 kuwa 'pepa' iliyoandaliwa na Prof. Raphael Mwalyosi kutoka IRA UDSM ya mwaka...
Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine...
Katiba ndio chombo pekee ambacho kinawapa wananchi mamlaka ya kujitawala. Katiba ni mali ya wananchi na sio mali ya watawala wanaowekwa na wanachi kwa njia ya kura.
Hakuna kificho kuwa tangu...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya...
Tanzania ni nchi iliyozungukwa na maziwa na bahari, huku ikiwa na mito mbali mbali yenye kutiririsha maji nchini.
Tanzania kwa kiasi kikubwa kuanzia mijini hadi vijijini utegemea sana maji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.