Tuhuma za waliokuwa watumishi wa JWTZ kuteswa na Askari Polisi haziwezi kutia doa mahusiano ya askari mmoja mmoja?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Kesi ya Ugaidi inaypendelea Mahakama ya Uhujumu uchumi imeonysha namna Serikali ya chama cha Mapinduzi ilivyokuwa inaendeshwa na inavyoendeshwa. Yapo mambo ambayo Wala Jaji apaswi kusubiriwa kuyatolea hukumu maana yapo wazi kabisa. Mfano:

Mkuu wa upelelezi Arumeru Afande Jumanne anayetuhumiwa kuwatesa watuhumia huko Tazara alikamatwa Arusha akahojiwa na kusimamishwa kazi kwa Tuhuma za kumbambikia Profesa mmoja kesi Kisha kuchukua million mia Moja. Lakini pamoja na tuhuma hizo hakuwahi kufikishwa mahakamani Bali alilipwa na Serikali atoke Arusha kwenda DSM kutoa ushahidi Mahakamani na Jaji akiwa anayajua haya yote hakuonyesha kwa namna yoyote ile kutilia mashaka ushahidi wake wala kuomba taarifa za tabia zake kama taratibu zinavyotaka bali yeye Jaji alionekana dhahiri kuunga mkono kile mtuhumiwa huyu alichokuwa anakifanya Mahakamani. Huko Kenya mahakama imehukumu DCI aende jela baada ya kubaini anacheza na Mahakama. Huku kwetu Jaji hana initiative yoyote anayofanya kudhibiti wahuni mahakamani.

Pili , bila hata hukumu ya Jaji ni ukweli ulio wazi kwamba watuhumia wote awakuwahi kufikishwa central Polisi Dar es salaam Bali Kwa ushahidi na nyaraka zinavyoonyesha ni kwamba watuhumiwa walikuwa Tazara na Mbeni. Hivyo Kingai na genge lake wanaidanganya mahakama na Mahakama inajua inadanganywa. Mahakama inashindwa nini kuelekeza jeshi la Polisi kuwasilisha vitabu vya kuweka watu mahabusu? Inashindwa nini kuelekeza jeshi la polisi liwasilishe uthibitisho kwamba Msemwa alikuwa central na siyo osterbay kama utetezi unavyodai? Mahakama gani imefungwa mikono kwa kila kitu? Mahakama gani haitaki kufikiri na kuelekeza?

Tatu ni ukweli uliowazi kwamba makomandoo walioteswa n Polisi waliozibiwa riziki huko JWTZ kwa kufutwa kazi na baada ya kufutwa kazi viongozi wao waliamini wataenda uraiani kuteseka maisha yao yote. Waliposikia wamepata ajira wakaumia sana na kuamua kuzika ndoto zao kwa kuwabambikia kesi inaypendelea. Ni jambo la kawaida kabisa kwa waajiri au viongozi wa serikali kufukuza watu kazi na wanaposikia wamefanikiwa kupata kazi sehemu nyingine utafuta mbinu za kuwahaaribia. Roho mbaya ya kitanzania ina madhara makubwa sana.

Tumeshuhudia mawaziri kama Nape wakivuliwa Uwaziri lakini pia baada ya kuvuliwa uwazri na nyota zao kuonekana zinang'aa walinyamazishwa na kulazimishwa kwenda ikulu kisha wakaitiwa vyombo vya habari kudhalilishwa kwamba wameenda kupiga magoti. TU Membe alivyopitia mateso, hawa ndio waafrika ambao kazi kubwa waliyonayo nikuzima ndoto za waafrika wenzao na kuwasha ndoto za mabeberu na wageni.

Lakini tujiulize kile kinachotokea mahakamani kinawaumiza Askari wangapi? Tunaamini kwamba hawa Askari watazidi kuwa wamoja? Je wanaojua tabia za Makomandoo hawa akiwemo Urio ambaye kwa namna kesi inavyokwenda anaonekana alijua wameonewa na kufukuzwa kazi kimakosa akawataftia ajira wanajisikiaje? Kwamba akina Jumanne anayetajwa kuchukua milioni moja kesi ya sabaya ndiye anaonekana kuwatesa Makomandoo waliofukuzwa kazi?

Lakini pia tujiulize, viongozi waandamizi wa serikali waliopo nyuma ya kesi hii wanamaono gani kuhusu mpasuko wa Taifa LETU?

Nimesoma Kesi mbalimbali DUNIANI za kisiasa, hakuna kesi ya kijinga kama hii inayogonganisha maslahi ya siasa na vyombo vya dola. Kama yupo mwenye kesi kama hii kuwahi kutokea hata hapo Burundi ailete hapa.

Zamani tulizoea kutunishiana misuli Kati ya vijana wa JW na Polisi sijui tukiendelea na kesi hii itakuwaje. Tukumbuke Siro na Mabeyo wanaweza kuwa wamoja, General na viongozi wa juu wanaweza kuwa wamoja lakini nafsi za askari mmoja mmoja aliyejeruiwa na hii kesi haziwezi kuwa pamoja.

Huu ni mtizano wangu kwamba haya yanayokwenda live yanatia chumvi miyoyo ya wapiganaji WETU, wataanza kutunishiana misuli na kushirikiana kinafiki.

Stagomena Tax fanya analysis mshauri Mhe. Rais naamini atakusikiliza. Mahakama imetegwa na kesi ndogo ndani ya kesi kubwa kwa lengo lakuhakikisha kila kitu kinawekwa adharani na msidhani kwamba kina Kibatala wanatumia akili zao yawezekana wapo majaji, generals, watumishi waandamizi wanawapa mbinu hizi, this is not normal , mbinu hizi nikubwa sana ila kwa sababu naamini hakuna kiuongozi mwandamizi anayefuatilia kinachoendelea ndio maana hatujaona action kwa niaba ya nchi.
 
Hii inchi haiwezi kwenda sawa mpaka tupate katiba mpya kwann nasema hivyo?

Jaji anateuliwa hivyo basi jaji bosi wake ni yule aliemteuwa lazima afuate maelekezo ya boss . Mkuu wa mkoa lazima afuate maelekezo ya bosi wake,mkurugenzi lzma afuate maaelekezo ya boss wake, mkuu wa wilaya lazima afuate maelekezo ya boss, sasa unaweza kuna kuna team imekwenda kuchunguza kufika kule wale wenyeji wamepewa maelekezo kutoka kwa boss ya kwamba msiwape ushirikoano hao.

Inatakiwa katiba mpya iundwe kumpunguzia kazi majukumu raisi, wakuu wa mikoa na majaji wachaguliwe na bunge,hii itafanya wafanye kazi kwa bidii na uwadilifu,lkn pia hii itafanya wasipangiwe cha kuamua na watoe hukumu halali kabisaa, katiba mpya ndio mpango mzimaaaaa
 
Hii inchi haiwezi kwenda sawa mpaka tupate katiba mpya kwann nasema hivyo?

Jaji anateuliwa hivyo basi jaji bosi wake ni yule aliemteuwa lazima afuate maelekezo ya boss . Mkuu wa mkoa lazima afuate maelekezo ya bosi wake,mkurugenzi lzma afuate maaelekezo ya boss wake, mkuu wa wilaya lazima afuate maelekezo ya boss, sasa unaweza kuna kuna team imekwenda kuchunguza kufika kule wale wenyeji wamepewa maelekezo kutoka kwa boss ya kwamba msiwape ushirikoano hao. Inatakiwa katiba mpya iundwe kumpunguzia kazi majukumu raisi, wakuu wa mikoa na majaji wachaguliwe na bunge,hii itafanya wafanye kazi kwa bidii na uwadilifu,lkn pia hii itafanya wasipangiwe cha kuamua na watoe hukumu halali kabisaa, katiba mpya ndio mpango mzimaaaaa
Jaji anaburuzwa kama houseboy wa mhindi.
 
Ujue ambacho unatakiwa kujiuliza kama makomandoo wanateswa hv je wewe raia wa kawaida itakuwaje! Make police anamtesa anajua huyu komandoo akipata mwanya ataleta madhala je mimi hata kuruka kichura mtihani si utakanyagwa kama udongo wa kufyatua tofari
Hii ni wakeup call kwa wananchi
 
Hivi Hawa makomando walioteswa na jeshi la policcm kwa tuhuma zisizo kuwepo halafu tunaona JWTZ wakiendelea kuwa wanyenyekevu kunawafundisha nini policcm? Wanajihisije? Niliwahi kushuhudia mwanajeshi akichalazwa viboko hadharani na police baada ya bodaboda kukamatwa kwa sababu yule mwanajeshi alikuwa hajavaa helmet lakini pamoja na kujitetea kuwa ni mwanajeshi alishushiwa kipigo Cha hatari, kwa kweli inasikitisha Sana
 
Komandoo mmoja alianzishe bwana mtaani vitu vimepanda bei sana maisha yamekuwa magumu sana. Serikali imefeli kwasababu ya kupambana na watu badala ya kupambana na Hali ya uchumi
 
Hizo tuhuma kibatala ma wenzake hawakuzijua ili wazitoe kumuondolea hadhi ya kuwa mkweli kwenye ushahidi?

Jaji ataibuaje madhambi yako wakati hana shitaka na wewe?
Kil8chotakiwa ni kina kibatara kumlipua watakai anakuja kutoa ushahidi kuwa haaminiki
Kesi ya Ugaidi inaypendelea Mahakama ya Uhujumu uchumi imeonysha namna Serikali ya chama cha Mapinduzi ilivyokuwa inaendeshwa na inavyoendeshwa. Yapo mambo ambayo Wala Jaji apaswi kusubiriwa kuyatolea hukumu maana yapo wazi kabisa. Mfano:

Mkuu wa upelelezi Arumeru Afande Jumanne anayetuhumiwa kuwatesa watuhumia huko Tazara alikamatwa Arusha akahojiwa na kusimamishwa kazi kwa Tuhuma za kumbambikia Profesa mmoja kesi Kisha kuchukua million mia Moja. Lakini pamoja na tuhuma hizo hakuwahi kufikishwa mahakamani Bali alilipwa na Serikali atoke Arusha kwenda DSM kutoa ushahidi Mahakamani na Jaji akiwa anayajua haya yote hakuonyesha kwa namna yoyote ile kutilia mashaka ushahidi wake wala kuomba taarifa za tabia zake kama taratibu zinavyotaka bali yeye Jaji alionekana dhahiri kuunga mkono kile mtuhumiwa huyu alichokuwa anakifanya Mahakamani. Huko Kenya mahakama imehukumu DCI aende jela baada ya kubaini anacheza na Mahakama. Huku kwetu Jaji hana initiative yoyote anayofanya kudhibiti wahuni mahakamani.

Pili , bila hata hukumu ya Jaji ni ukweli ulio wazi kwamba watuhumia wote awakuwahi kufikishwa central Polisi Dar es salaam Bali Kwa ushahidi na nyaraka zinavyoonyesha ni kwamba watuhumiwa walikuwa Tazara na Mbeni. Hivyo Kingai na genge lake wanaidanganya mahakama na Mahakama inajua inadanganywa. Mahakama inashindwa nini kuelekeza jeshi la Polisi kuwasilisha vitabu vya kuweka watu mahabusu? Inashindwa nini kuelekeza jeshi la polisi liwasilishe uthibitisho kwamba Msemwa alikuwa central na siyo osterbay kama utetezi unavyodai? Mahakama gani imefungwa mikono kwa kila kitu? Mahakama gani haitaki kufikiri na kuelekeza ?

Tatu ni ukweli uliowazi kwamba makomandoo walioteswa n Polisi waliozibiwa riziki huko JWTZ kwa kufutwa kazi na baada ya kufutwa kazi viongozi wao waliamini wataenda uraiani kuteseka maisha yao yote. Waliposikia wamepata ajira wakaumia sana na kuamua kuzika ndoto zao kwa kuwabambikia kesi inaypendelea. Ni jambo la kawaida kabisa kwa waajiri au viongozi wa serikali kufukuza watu kazi na wanaposikia wamefanikiwa kupata kazi sehemu nyingine utafuta mbinu za kuwahaaribia. Roho mbaya ya kitanzania ina madhara makubwa sana.

Tumeshuhudia mawaziri kama Nape wakivuliwa Uwaziri lakini pia baada ya kuvuliwa uwazri na nyota zao kuonekana zinang'aa walinyamazishwa na kulazimishwa kwenda ikulu kisha wakaitiwa vyombo vya habari kudhalilishwa kwamba wameenda kupiga magoti. TU Membe alivyopitia mateso, hawa ndio waafrika ambao kazi kubwa waliyonayo nikuzima ndoto za waafrika wenzao na kuwasha ndoto za mabeberu na wageni.

Lakini tujiulize kile kinachotokea mahakamani kinawaumiza Askari wangapi? Tunaamini kwamba hawa Askari watazidi kuwa wamoja? Je wanaojua tabia za Makomandoo hawa akiwemo Urio ambaye kwa namna kesi inavyokwenda anaonekana alijua wameonewa na kufukuzwa kazi kimakosa akawataftia ajira wanajisikiaje? Kwamba akina Jumanne anayetajwa kuchukua milioni moja kesi ya sabaya ndiye anaonekana kuwatesa Makomandoo waliofukuzwa kazi?

Lakini pia tujiulize, viongozi waandamizi wa serikali waliopo nyuma ya kesi hii wanamaono gani kuhusu mpasuko wa Taifa LETU?

Nimesoma Kesi mbalimbali DUNIANI za kisiasa, hakuna kesi ya kijinga kama hii inayogonganisha maslahi ya siasa na vyombo vya dola. Kama yupo mwenye kesi kama hii kuwahi kutokea hata hapo Burundi ailete hapa.

Zamani tulizoea kutunishiana misuli Kati ya vijana wa JW na Polisi sijui tukiendelea na kesi hii itakuwaje. Tukumbuke Siro na Mabeyo wanaweza kuwa wamoja, General na viongozi wa juu wanaweza kuwa wamoja lakini nafsi za askari mmoja mmoja aliyejeruiwa na hii kesi haziwezi kuwa pamoja.

Huu ni mtizano wangu kwamba haya yanayokwenda live yanatia chumvi miyoyo ya wapiganaji WETU, wataanza kutunishiana misuli na kushirikiana kinafiki.

Stagomena Tax fanya analysis mshauri Mhe. Rais naamini atakusikiliza. Mahakama imetegwa na kesi ndogo ndani ya kesi kubwa kwa lengo lakuhakikisha kila kitu kinawekwa adharani na msidhani kwamba kina Kibatala wanatumia akili zao yawezekana wapo majaji, generals, watumishi waandamizi wanawapa mbinu hizi......thisi is not normal , mbinu hizi nikubwa sana ila kwa sababu naamini hakuna kiuongozi mwandamizi anayefuatilia kinachoendelea ndio maana hatujaona action kwa niaba ya nchi.
 
Inasikitisha sana mkuu
 
Hizi mada zinaletwa kishabiki mno bila kujua shina lake,hawa wanajeshi walishafutwa ajira,wangekua kazini kuna utaratibu wa ukamatwaji waje,hawa ni raia wenzetu,kingine mfano umemkamata jambazi unataka akuonyeshe silaha kaficha wapi,utambembeleza akuambie alikoificha au utatumia nguvu ili kupata information unazotaka?,hii system ya kutumia nguvu iko duniani kote ndio maana hata CIA wana black cell huko ndio shuguli ya kuextract information hufanyika,usitegemee kupata information kwa mtu trained kirahisirahisi
 
Back
Top Bottom