Nakumbuka tu kuhusu kanda pendwa kama ilivyobatizwa na makamanda wa Ufipa.
Sasa Tanga nao labda watauita " Mkoa Pendwa" maana Ufipa hawanaga dogo.
Dominica njema!
Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao.
Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na...
Ile kampeni ya kusajili wanachama kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital imeingia rasmi Geita Mjini na kusababisha shughuli za kijamii kusimama baada ya Watu wote kwenda kujisajili.
Shukrani...
Ni kupitia luninga ya ITV taarifa ya habari jioni hii 14/11/2021.
Nimeona taarifa ya kuwasili kwa rais wa Zanzibar nchini Afrika kusini kwa mwaliko toka kwa rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Binafsi nimeona kuna haja ya vijana wenzetu wa CHADEMA kuandaliwa semina ya dharura ili kuwaondoa na huu mkwamo...
Dkt. Kigwangalla na Azzan Zungu ndio walikuwa na dhamana ya kulinda misitu yetu ili kutuepusha na janga la uhaba wa mvua unaopelekea ukame.
Wawili hawa ndio wanampa wakati mgumu Waziri Juma Aweso...
Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa
Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote...
Nimekaa na kutafakari sana bila majibu, hasa kuhusiana na namna malalamiko yanazidi kuongezeka mitandaoni.
Ukiyasikiliza kwa makini hayo malalamiko lazima yakuchanganye. Wapo wanaoona Hali ni...
Najua January Makamba amekuwepo kamati ya Nishati pale bungeni.
Stella Manyanya ni miongoni mwa wazalendo 5 walioizima Richmond na kupelekea PM Lowassa kujiuzulu.
Alikuwa na akina Albert Mtangi...
Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya.
Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala...
Hii ilikuwa ni moja ya lugha Iliyotumika Sana Kipindi Cha Kampeni; Sasa Kutokana Na Kasi Ya 4G Ya Awamu Ya Sita Katika Kuwaletea Wananchi Maendeleo, Nimeona Ni Vyema Tukipata Mrejesho Wa Kile...
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua...
Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini?
Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo...
Kwa kawaida binadamu hupambana na changamoto zinazomkabili kwa kutumia kile alicho nacho.
Kiongozi mwenye akili ndogo, hata siku moja hawezi kutumia akili kupambana na hoja za wapinzani wake. Kwa...
Taarifa ya Msigwa ni kwamba TANESCO wanazalisha megawat 1,609. Matumizi yetu ni megawat 1,273. Hivyo tuna ziada ya megawati 336.
Tunaambiwa kuwa ukame umesababisha kupungua megawati 280!
Hii ina...
Ameanza Juma Awesu......waziri
Leo January Makamba........waziri
Atafuata Suleiman Jafo.......waziri
Hizi gharama za ukaguzi unaweza kujenga bwawa jipya
Maendeleo hayana vyama!
Habari wakuu
Kusema kweli mimi naona swala la elimu bure ni mihemko ya kisiasa na ndio inasababisha mpaka sasa kutelekeza vijana wetu wahitimu kwa kushindwa kuajiri.
Serikali inauhaba na...
Serikali lazima sasa itambue kuwa kna Bodi ilizoziunda ni kero na mzigo tu kwa Taifa.
Kuna NEMC, Bodi za Mabonde siujui ya mito Ruvu, Rufiji, Bodi la Ziwa Tanganyika, Bodi la Ziwa Victoria, Bodi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar.
Amesema Sheria za...
Tuna akiba kubwa sana ya fedha za kigeni nchini ,badala ya pesa hiyo kulisaidia taifa kujikwamua kiuchumi wajanja wanabuni projects kuzikamua na sisi tunapiga makofi,
Mara matengenezo ,mara ukame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.